Hongereni Walinzi wa Rais ila ongezeni Umakini...

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake,

Baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo

Hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.

Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.

Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.
Asanteni.
 
Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,694
2,000
Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.

Umenikumbusha uwanja wa Kirumba!
 
dripu

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
1,287
2,000
Kiongozi unaweza kuniambia huyo mtu anafananaje ili nikamwambie alichokifanya sio kitu kizr
 
eerua

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
368
250
Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.

Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.

Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.

Asanteni.
Mkuu usipende kuandika andika tu vitu havieleweki.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,520

mkuuu kaziyaooo
 
cai

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,352

Haya mwambie msigwa aiweke kwenye taarifa ya ikulu kwa uma, wewe hatujakulewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom