Hongereni Walinzi wa Rais ila ongezeni Umakini...

Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.

Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.

Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.

Asanteni.
Na Marehem awe amethibitishwa na daktari kuwa amekufa!
 
Nikusaidie kitu kwa taarifa yako ulinzi wake dhaifu mno kiasi cha kuhatarisha usalama wake, tatizo hawana mbinu za ziada halafu vifaa wanavyokuwa navyo hata kama ni vidogo kuonekana kwa macho lakini haviendani na wajihi wa ngozi za walinzi hao.
 
Leo mida ya mchana mkoani pwani, Rais alikuwa anazindua awamu ya pili RUVU - JUU, wakati wa kupiga picha na makundi mbalimbali, Kundi la pili raia wa kigeni, alionekana mtu mmoja ambaye ni raia wa kigeni akikiwahi kiti cha Mh. Rais ambacho alikuwa amekikalia, alionekana kumuita mwenzake, baadae mtu huyo alionekana kama vile anavishika- shika vidole vya mikono yake huku mikono hiyo akiwa ameielekeza kwenye kiti alichokuwa amekaa Mh. Rais, bahati nzuri, Walinzi wa Mh. Rais Waliona tukio hilo hivyo naona mawasiliano kati yao yalifanyika haraka na mmoja wao akaenda kusimama nyuma ya kiti hicho ili kutoruhusu mtu yeyote kusimama mahala hapo hadi zoezi hilo linamalizika hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kusimama nyuma ya kiti hicho, kwanza, niwapongeze walinzi wa Rais kwa kubaini hali ile pia wasiruhusu kuanzia sasa hali hiyo itokee tena kwa mtu yeyote ili kulinda usalama wa Rais muda wote.

Inajulikana kuwa maadui wengi wanaweza kubuni mbinu nyingi sana za kumfikia na kumdhuru Mh. na hasa kwa dunia ya sasa ambapo kitu kibaya kinaweza kufichwa ndani ya kucha na kutoa kitu hicho kwa njia ya hewa kwa mlengwa.

Naomba tukio la leo lisijirudie, kwenye mambo ya usalama, tunafundishwa kuwa usimwamini binadamu aliyehai labda marehemu tu ndiye wa kumwamini.

Asanteni.
Wakimtaka wanaenda kumchukulia pale pale Magogoni
 
Back
Top Bottom