Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 334
- 529
Jinsi ulivyoandika na maoni uliyoyatoa, upo katika Karne ya 21, lakini una mawazo ya Kijima. Hivi kama kila mtu atakuwa anachukua SHERIA MKONONI maisha yatakuwaje?Ukienda mbele ukarudi nyuma unakubali kabisa walimu akiri zao ni finyu sana wengi wamekariri hata hayo masomo wanayofundisha jiulize miaka6 syllabus ajiwahi badirika na Kila siku unafundisha SoMo Hilo Hilo kitabu ikoiko Nini utaambulia? Kwa akiri ya kawaida tu huwezi fanya huu upumbavu Kwa maisha waliyo nayo.
Jnne mwalimu kapigwa na mzazi hivivi Kwa ujinga wake kamwambia mtoto wewe ni mjinga sana kama babako mtoto akaenda kuripoti alichopata ni stahiki yake. Badirikeni.
Ndugu, maisha huwa yanaendeshwa kwa malengo. Mwalimu hana malengo ya kushinda uchaguzi, malengo yake ni kupata fedha.Ni kweli sina akili ila wewe ni mwehu.Wanakubali vipi kusimamia uchaguzi ambao wanajua kuwa matokeo yatakuwa batili?
lkiwa wao wasomi wanasimami ubatili mabadiliko ya katiba yataongozwa na wakulima numbu ambao hawajui hata maana ya Katiba?
Wanasimamia,posho.zao wanadhulimiwa na wakurugenzi halafu chaguzi zingine zikija wanaendelea kusimamia,unadhani wapo sawa kichwani?
Malalamiko ya walimu tu ni laana tosha kwa wafujaji haoBoy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not.
Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa hadi juzi nliposkia bajeti yao, kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock city, imagine 7billions, whaaaaaaat!
Yaani billions 7 kwa ajili ya mkutano wa wanachama ili kujadili God knows what. Kwa jinsi walimu wanavyonangwa kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa akili zao hazijakaa sawa.
Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang according to Mama, ila walimu mnaenda teketeza 7 billions kwa sherehe ya siku moja pale Mwanza, huku wanachama wenu wakiongoza kwa madeni dukani kwa mangi hivi mnaakili kweli? Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli naye alikuwa Mwalimu.
Walimu muanze kufikiria kichwa, michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha. Hebu niambie bilioni 7 halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize. Mnadharaulika sana.
Hilo ni kwa watumishi wote hasa wa serikalini.Viongozi wao wakati wa uchaguzi kuhonga na kulogana ni kitu rahisi tu.Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not.
Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa hadi juzi nliposkia bajeti yao, kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock city, imagine 7billions, whaaaaaaat!
Yaani billions 7 kwa ajili ya mkutano wa wanachama ili kujadili God knows what. Kwa jinsi walimu wanavyonangwa kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa akili zao hazijakaa sawa.
Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang according to Mama, ila walimu mnaenda teketeza 7 billions kwa sherehe ya siku moja pale Mwanza, huku wanachama wenu wakiongoza kwa madeni dukani kwa mangi hivi mnaakili kweli? Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli naye alikuwa Mwalimu.
Walimu muanze kufikiria kichwa, michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha. Hebu niambie bilioni 7 halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize. Mnadharaulika sana.
Ukienda mbele ukarudi nyuma unakubali kabisa walimu akiri zao ni finyu sana wengi wamekariri hata hayo masomo wanayofundisha jiulize miaka6 syllabus ajiwahi badirika na Kila siku unafundisha SoMo Hilo Hilo kitabu ikoiko Nini utaambulia? Kwa akiri ya kawaida tu huwezi fanya huu upumbavu Kwa maisha waliyo nayo.
Jnne mwalimu kapigwa na mzazi hivivi Kwa ujinga wake kamwambia mtoto wewe ni mjinga sana kama babako mtoto akaenda kuripoti alichopata ni stahiki yake. Badirikeni.