Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,417
- 5,276
Pole sana mwanachama wa CWT, chukua hatua .Boy oh boy nimefurahishwa na kushangazwa (amazed)if not confused na chama Cha Waalimu nchini CWT,sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki Kwa kuwa mm si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and whatnot.
Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa Hadi juzi nliposkia bajeti yao,Kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock sirii,Imagine 7billions...whaaaaaaat.
Yaani billions 7,Kwa ajili ya mkutano wa wanachama Ili kujadili God knows what.
Kwa jinsi walimu wanavyo nangwa Kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa Akili zao hazijakaa sawa.
Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang'According to Mama,ila waalimu mnaenda teketeza 7billions Kwa sherehe ya siku Moja pale Mwanza,huku wanachama wenu wakiongoza Kwa madeni dukani Kwa mangi hivi mnaakili kweli?Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli nae alikuwa Mwalimu.
Waalimu ifike mwisho wa kutumia makalio badala ya kichwa,michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha,Hebu niambie bilioni 7 Halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize.
Mnadharaulika sana.
Daaah! Inasikitisha!Boy oh boy nimefurahishwa na kushangazwa (amazed)if not confused na chama Cha Waalimu nchini CWT,sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki Kwa kuwa mm si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and whatnot.
Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa Hadi juzi nliposkia bajeti yao,Kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock sirii,Imagine 7billions...whaaaaaaat.
Yaani billions 7,Kwa ajili ya mkutano wa wanachama Ili kujadili God knows what.
Kwa jinsi walimu wanavyo nangwa Kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa Akili zao hazijakaa sawa.
Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang'According to Mama,ila waalimu mnaenda teketeza 7billions Kwa sherehe ya siku Moja pale Mwanza,huku wanachama wenu wakiongoza Kwa madeni dukani Kwa mangi hivi mnaakili kweli?Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli nae alikuwa Mwalimu.
Waalimu ifike mwisho wa kutumia makalio badala ya kichwa,michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha,Hebu niambie bilioni 7 Halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize.
Mnadharaulika sana.
Kuku tena?Kuku bandiko zuri ila uandishi uko Vibaya,boresha bandiko.
Huna akili wewe.Hawawezi kukuelewa mkuu,kumbuka hao ndo wasimamizi wa chaguzi zote za tume ya taifa ya uchaguzi.
Yale wanayoyafanya kule kwenye chaguzi za taifa ndo wanayoyafanya kuchagua viongozi wa CWT
Ni kweli sina akili ila wewe ni mwehu.Wanakubali vipi kusimamia uchaguzi ambao wanajua kuwa matokeo yatakuwa batili?Huna akili wewe.
Katika uchaguzi mwalimu ana nguvu gani ya kukataa walioamua wakubwa wake( SERIKALI)?
KIFUPI: SYSTEM NZIMA inapokuwa CORRUPT ( Mwalimu anabadilishaje?). Huwezi kubadili mfumo kama huna nguvu za kuutawala mfumo. Wale chama cha upinzani waliokwenda kuapishwa bungeni viti maalum walipelekwa na walimu?, Au
wale waliowaengua wagombea wa CHADEMA walikuwa walimu?
Ni vizuri zaidi uwe unashughulika na chanzo cha tatizo?, Vinginevyo utakuwa unatupotezea muda tunaojua chanzo cha tatizo.( Mfano: walimu wafuate KANUNI kama zilivyo, halafu Mkurugenzi akamtangaza mtu mwingine, wewe unaona Kuna jipya hapo?, Na tumeshuhudia hivyo mara nyingi).
DAWA ni Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi isiyotegemea fadhila za mgombea yeyote, na kuheshimu matokeo ya uchaguzi.
Siwengefanya online voting tu alafu pesa itayobaki wakopeshane mtaji ya biashara maisha yasonge.... Asee walimu mmebore... Mnajifanya CCM?Hawawezi kukuelewa mkuu,kumbuka hao ndo wasimamizi wa chaguzi zote za tume ya taifa ya uchaguzi.
Yale wanayoyafanya kule kwenye chaguzi za taifa ndo wanayoyafanya kuchagua viongozi wa CWT