Ikiwa ni kweli itasaidia kidooooogo, lkn bd maisha ni magumu kulingana na hata kupanda kwa gharama za usafiri ambazo zitaathiri kwa kiwango kikubwa gharama za bidhaa muhimu kwa mlaji wa mwisho.
Sitoi shukrani kwa serikali maana ni wajibu wake na hata hivyo shukrani hizo ni sawa na mwazima shoka aliyelikosa halafu akashukuru wakati hajalipata.
Kwa walimu hicho kidogo kiwape ari sasa mfanye kazi kwa kuongeza kidooogo juhudi ila si sasa walio f.iv bali walio nyuma yao maana ndo sahihi kidogo. Hili la mwaka huu ni bomu jingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.