Hongereni walimu, mishahara juuu!

Hongereni walimu, mishahara juuu!

Mchagapori

Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
49
Reaction score
11
Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.
 
Yangu macho mkiongezewa 1500/= msije kulia hapa
 
Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.

Kumbe unaota mapema
 
wew unategemea nini kutoka kwakina Mwigulu, Kawambwa, Nape na Kibonde,......yaani unategemea uchumi wa Nchi ufanywe Stable kiasi cha kupandishia walimu woooooooooooote madaraja na mishahara! labda tukimwajiri Rais Kagame awe waziri wa Fedha hapa BoNgO lAnD
 
Kwa Tanzania hii niijuayo, kila kitu kinawezekana isipokua kuongeza mishahara ya watumishi wa umma.
Naomba nisinzie ili niwape nafasi wenye ujuzi zaidi na hii serikali 'yetu'.
 
Mpaka watoto wafeli ndio waongeze? Kazi kweli kweli.
 
Hii ni ngumu ila kama ni kweli ni neema. Sasa walimu kazi yenu iakisi uzalendo.
 
Ngoja tusubiri tujue mwisho wake, kama ni tetesi au lah!,lakini uzi huu utakuwa umewapa walimu presha kweli kweli!
 
Hii inawezekana tena sana na ninaishukuru selikali lakini itakuwa hivo kama mungu ametangaza kiama,,,hata mungu a tangaze kiama baadhi ya watu watkimbia na pesa
Ngoja nkitafute cheti changu nianze kushika chaki naona wito unaanza kulipa.
 
mwenzetu anaota mapemaa hii Kiruuuu
hebu wanajamvi wote tukalale nasi tuoteshwe na membe naye aoteshwe kama atachukua form 2015 wengine tuoteshwe maisha bora,nk Mwenzetu kafungua shule leo kawasimamia wototo usafi kajichokea kaoteshwe mishara juu. Jamani tanzania zaidi uijuavyo
 
Ndoto zimekuwa tetesi,matatizo ya kulala mapema hayo
 
Hilo haliwezekani kwa serikali ya awamu hii. Mtoa uzi unaota!
 
Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.

Hebu subiri kidogo!! Kwani sasa hivi mwalimu wa shshada analipwa tsh ngapi?Hiyo nyongeza ya kufikia tsh 850,000/= itakuwa ni kiasi gani? Nikipata majibu naweza kupata picha ya ukweli wa tetesi hii!!
 
Back
Top Bottom