Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,427
- 2,229
Nichukue nafasi kukipongeza CHAMA cha MAPINDUZI,BUNGE la JAMHURI ya MUUNGANO na WAHESHIMIWA sana WABUNGE wetu kwa KUJIPANDISHIA MISHAHARA MINONO kutoka TSH.13,000 000/=mpaka Tsh.18,000,000/=
Huku WATUMISHI wa Umma na Wastaafu wakiendelea kupata MISHAHARA KIDUCHU na PENSHENI kiduchu.
Uamuzi wa WABUNGE Kujiongezea MISHAHARA wakati Watumishi na Wananchi kwa jumla Wanaishi MAISHA MAGUMU sio suala la WANANCHI Kukaa KIMYA ni LAZIMA Tukemee UBINAFSI wa WABUNGE wa NCHI.
Ni Wazi WABUNGE hawapo kwa ajili ya KUWAPIGANIA wananchi ili VIPATO na MAISHA ya WANANCHI yawe BORA bali wapo kwa ajili ya KUJIPIGANIA wao na FAMILIA ZAO.
HAKIKA Ubinafsi UNAUMIZA sana.Nichukue tena NAFASI hii Kuipongeza CCM kwa KUWAPENDELEA WABUNGE na Kuwaacha Wananchi na Watumishi wa UMMA wakiishi MAISHA ya KIMASIKINI.
Soma
- Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho