Hongereni sana Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa na Msemaji Dkt. Hassan Abbas

Kuna Watu wanaiharibu sana hii ' tasnia ' nzima ya Habari na Mawasiliano hasa kwa upande wa ' Usemaji ' wa Taasisi muhimu. Kila nikimwona Msemaji wa IKULU ya Marekani Mwanadada Sarah Huckabee Sanders na Msemaji wa Serikali ya Marekani Mwanadada Heather Nauert halafu nikija kuwalinganisha na Wenzao wa Tanzania wenye Vyeo hivyo hivyo au Majukumu hayo hayo huwa naiona tofauti kubwa sana hasa ya Kitaaluma na Kiuweledi.
Nimekubaliana na wewe mpaka ulipomtaja Sarah happy umetifua. Sarah kama huyu unayemnanga. Huyu mwanasiasa kazi yake jibes ni ku spin ion go wa boss wake sijui unambiguous vipi mtu anayetetea up go wa boss wake mpaka hata mtoto mdogo akiona Ananias ni muongo?

Sarah Mara zinging anakataa kujibu maswali

Tunahitaji wapasha habari na siyo ma Spin Doctors kama Sarah Huckbee Sanders
 
Kumbe ulikuwa hujui kuwa nina Elimu hiyo ya darasa la Saba? Ila niletee hapa ' Wasomi ' wako wa Viwango vyote vikubwa unaowajua Wewe au niweke / nikutanishe nao kisha utupime kwa ujengaji wa hoja, maarifa mengi na uwezo mkubwa na wa asili wa kufikiri ndipo mwishoni utagundua kwamba kweli GENTAMYCINE ni ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Nina uhakika hata katika ' Koo ' zako zote mbili angepatikana tu Mtu mmoja mwenye robo tu ya ' IQ ' yangu leo mngeringa na kutamba mno ila bahati mbaya hamkubahatika kuzawadiwa ' akili / upeo ' na Mwenyezi Mungu.
Hiyo IQ yako sijiu umeipima kwakutumia nini. Au ndo huo unaoita uwezo wa kujenga hoja za kubomoa badala ya kujenga. Usijipime mwenyewe na kujifanyia tathmini na nkuone eti una IQ kubwa kuliko wengine.
 
Waambie hao ' Wapuuzi ' Mkuu na watambue kuwa CCM iliyonikuza na kunielea Mimi tena ilikuwa ni ile nzuri na yenye ' maadili ' mema na ' misingi ' mizuri kabisa ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere. Kuna tofauti kubwa sana ya katika maeneo na nyanja nyingi kati ya iliyokuwa CCM ya mwenyewe Mwalimu Nyerere na hizi CCM za kuanzia mwaka 2005 hadi sasa 2017 na nahisi itaelekea hadi mwaka 2020 au 2025.
Tatizo ni Dogo sana. Najua wewe ni mwana ccm mfu uliezoea urojo wa marais waliopita sasa umekutana na chuma cha pua ( pombe) unatetemeka na kujenga hoja mfu. Nafikili wewe ni N Nauye type.
 
Ndi ma DR wa TZ wanaendekeza njaa, wanadhalilisha Phd zao kwa kujipendekeza kwa wanasiasa, hawajiamini, wamejitoa ufaham na wanategemea kuajiliwa ili waweze kuishi
 
Niambie Mkuu valet de chambre. Kama una Simu hapo hebu tafuta Press Conference ya Msemaji Msomi wa ' gavamenti ' ujionee ' mazingaombwe ' yake ya Kitaaluma na ya Kiuweledi halafu rejea hizo Sifa Saba ( 7 ) hapo juu kisha unipe nawe mrejesho wako. Hivi hizi PhD's Watu huwa wanazipataje kwani mbona wengi wao haziendani na ' Utendaji ' wao hasa katika ' Nyadhifa ' walizopo?
Huwezi kuwalaumu hawa watu...kitu pekee kitakachokufanya uendelee kuwepo pale ulipo ni kufanya/kusema exactly kile ambacho PhD ya maganda ya korosho inataka.
 
Nimecheka alipojib swali la ndege iliyokamatwa akisema ndege hyo iko kwenye “road test” kwel watanzania sisi vilaza wanatuchezea wanavyotaka yaan mtu anajib swal haon hata aibu.
 
Nimecheka alipojib swali la ndege iliyokamatwa akisema ndege hyo iko kwenye “road test” kwel watanzania sisi vilaza wanatuchezea wanavyotaka yaan mtu anajib swal haon hata aibu.

Ndiyo PhD's za Tanzania hizo Mkuu. Tuzivumilie tu!
 
Dr Abbas ni Msemaji wa Serikali.
Vipi kuhusu Bunge na Mahakama...???
Sakata la Nyalando,tumeona NEC,BUNGE na CCM wakijikoroga,kwa nini wasiwe na wasemaji ili watoe kauli thabit..???
Nina wasiwasi hizi kauli pinzani zitakuwa na gharama ifikapo 2020 panapo uhai na majaaliwa yake MOLA
Kujikoroga uko vipi mbona jazba nyingi nadhani aliyejikoroga ni aliyejiuzulu ubunge na wapambe wake wasio na subira
 
Saa nyingine kama huna cha kuandika ukae kimya. Ficha upumbavu wako.ivi ujui kama ile taarifa ya Dr Abbas kuna baadhi ya vituo vya redio na Tv watairudia na watanzania walio wengi wataitizama na watakudharau kwa bandiko lako hili?
Dr Abbas ameulizwa maswali baada ya kutoa taarifa ya serikali na akajibu maswaliyao kwa ufasaha na katika majibu aliyokua akitoa amejibu na kufafanua kwa mifano iliyohai.
Mwishoe aliwauliza waandishi kama kunaswali lolote lakini waandishi hawakua na lakuuliza.

Ivi uta mfananisha na DJ alivyo ita wanahabari kuongelea afya ya Lisu!!?

Jasho lilikua likimtoka mbaka kwenye matundu yasiyo stahili kutoka majimaji. Achakutumika kama Tishu za kujisafishia.
waambie waelewe kuna watu wana chuki binafsi tu wangekuwa wao wangesemaje chaaa.
 
Back
Top Bottom