Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Acha uongo kilimanjaro haitokeagi stendi ya arusha unajua ofisi zao zilipo? Au unataka kuwachafulia tu?
 
juzi KLM limedondoka, na mwaka juzi Dar xpress likiungua moto lote
 
Kilimanjaro imebase sana kwenye abiria na mizigo wale jamaa wanapiga sana hela kwenye mizigo waache tu ubahili uwezo wanao wakukimbizana na hyo Tahmeed"
Naskia sana Sifa za Tahmeed itabidi siku nibuni kisafari nijionee mwenyewe.
 
aya mabas ya tahmed ni ya waarabu wazee wa majini kufukuzia ud hutupandi mkuu sisi wachaga tunapanda ya wachaga wenzetu babaake ayo peleka tanga kwenye wafuga majini
Waombe radhi watu wa tanga
 
Kilimanjaro warekebishe mabasi yao siti zimejibana had ufike umechoka hata wahudumu wana nyodo. Kwanza siku hizi mabasi mengi mazuri Kilimanjaro imebaki jina tu
 
Wahudumu hasa wadada siku hizi siyapandi wanafanya biashara mazoea tu. Kuna siku walimfokea abiria na nyodo.
 
Hayo Tahmeed yanakwenda mwendo wa kunyata kama yapo kwenye msafara wa harusi au msiba.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…