baba yoyoo
Member
- Jun 4, 2016
- 27
- 19
mm binafsi nawapongeza sn TAHMEED kwn wameleta mapinduzi sn ktk industry y usafiri nchi hii kw kiac kikubwa n pia wameleta mabac ambayo yan ubora sn n pia yenye ubora! Hongera sn TAHMEED kw ubora wenu!Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi kwa kampuni ya mabus ya kilimanjaro kwa kuona thread yangu wiki mbili zilizopita na kuamua kuifanyia kazi
Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika
Ila sasa nataka niwakosoe kilimajaro express,hivi ni ubahili kiasi gani mlio nao mkaamua kuongeza siti kwenye bus zenu zinazofungwa ac?yaani kwa kifupi haina tofauti na school bus tena za chekechea,mmebana siti ziwe ndogooo hakuna nafasi ya kuweka miguu,yaani ubahili huu umepitiliza,hii yote ni katika kushindana na tahmeed.
Sasa kilimanjaro mmebana siti ili waingie watu wengi,tv moja tu,hakuna wifi,siti sio za ngozi,charging system hakuna,fridge na disposer hakuna,halafu leo hii mnataka kushindana na TAHMEED
Ikumbukwe katika njia ya dar moshi arusha nairobi SUMATRA wamethibitisha ni TAHMEED pekee ndio bus la kifahari kwa kubandika sticker ya blue mlangoni kuthibitisha kuwa ni bus la daraja la juu sana
Mbaya zaidi TAHMEED imeleta mabus mapya zaidi ya 25 yapo yard kufikiria ziende route ipi ,hii imewaletea wamiliki wa mabus wa kaskazini waliozoea kufanya biashara kwa mazoea kitu kinachoitwa TAHMEED fever
Kigoma mbeya mwanza songea kahama singida jiandaeni
Mrejesho:
kilimanjaro express wamefanikiwa kufunga choo ambacho hakitumiki na ac wameghaili kuwawekea wateja wao ila wamekumbuka kuongeza siti kwenye bus zao
so sad
Tunaangalia usalama tangia nimeanza kupanda kilimanjaro miaka sita sasa sijawahi kusikia limechinja watu hayo mabasi yenu mnayokuja kuyatafutia soko humu hayaishi kumwaga damu za watu kila mwaka
Hatimaye nimetimiza mpango. Ndani ya Tahmeed sasa, tumefika Korogwe. Safari ni ya kutoka Dar kwenda Nairobi!Nami nina mpango wa kusafiri na Tahmeed soon...
Hatimaye nimetimiza mpango. Ndani ya Tahmeed sasa, tumefika Korogwe. Safari ni ya kutoka Dar kwenda Nairobi!
Very comfortable sana hawa Jamaa!!
Sidhani kama ana mpinzani, kama yupo aseme
View attachment 356991Sisi wa Moshi na Arusha hakuna mwingine bali KILIMANJARO EXPRESS.
View attachment 356991Sisi wa Moshi na Arusha hakuna mwingine bali KILIMANJARO EXPRESS.
View attachment 356991Sisi wa Moshi na Arusha hakuna mwingine bali KILIMANJARO EXPRESS.
Sisi wa Moshi na Arusha hakuna mwingine bali KILIMANJARO EXPRESS.
Kisayansi siyo salama,utakufa kabla ya muda wako
Pamoja na maboresho hayo wakumbuke kupiga misasa ndimi za wahudumu wao kila wakati maana muda mwingine wanajisahau sana
Kwa upande wa TV ingependeza kama kila siti ingekuwa na headset zake ili kutompa usumbufu wa kelele msafiri asiye na interest na burudani hizo
Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha
Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
Kama zilivyo ajali nyingineTahmeed Imeungua Jana! !
Tahmeed imeungua jana, una swali lingine?
Wale waarabu mmh dereva anamuuliza kondakta nikanyage ng'ombe wangapi hapa anasema 3, na anapitia watatu kweli, badala yakusubiri mifugo ipite kwanza, khaaaaYote tisa.....kumi ni kwamba kampuni ya BORN CITY iko njiani kuweka mabasi njia ya DAR/ARK.Wanaahidi huduma zilezile na hawatakuwa tayari kumuacha yoyote aliyekosa nauli kumrudisha home...kama zamani
Nami nina mpango wa kusafiri na Tahmeed soon...
Umewajibu vizuri,mbona hawana subra katika kipindi cha.miaka 15 ndio tahmeed ya kwanza kuungua,kilimanjoro na dar express zimeungua mnoo ndani ya miaka mitatu hiiKama zilivyo ajali nyingine
Yote tisa.....kumi ni kwamba kampuni ya BORN CITY iko njiani kuweka mabasi njia ya DAR/ARK.Wanaahidi huduma zilezile na hawatakuwa tayari kumuacha yoyote aliyekosa nauli kumrudisha home...kama zamani