Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Tumeshuhudia raia wa Kenya waliokwama ktk mapigano huko S. Sudan wakirudi Kenya kwa ndege yao ya kwanza nyeupe ya Air force. Je, Tanzania imechukua hatua gani kuwanasua waTz waliokwama huko? Je, utamtambuaje Mtanzania halisi bila kitambulisho cha uraia? Tafadhari viongozi wetu,jifunzeni toka kwa wakenya!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums