Usiwe mtu wa kusikia ndugu yangu wala usiwe kama machangudoa was magomeni una ushahidi kuhusu hili unalolisema? Unajaribu kwa nguvu nyingi sana kututoa kwenye topic, hospital ya mwananyamala si ya CHADEMA wala chama chochote cha siasa, CHADEMA wameenda pale kufanya huduma za kijamii kitu ambacho ni chema, hakukuwa na mbwembwe wala nini, Mimi nina mgonjwa pale hata hao CHADEMA hawanifahamu ila naipenda CHADEMA na nimevutiwa na walichokifanya na ndio maana nikaleta mada hii hapa jukwaani
USITUPOTOSHE PIMBI WEWE
wewe sasa hapa ndio umetoa hoja gani? acha kujitoa akili
Duu halafu nyie ndio tegemeo la chama...!!!LAHAULAH...!!!
Umeishiwa hoja nenda kaandalie chakula mezani mumeo anakaribia kurudi
una kichaa wewe..
Waache unafiki. Hakuna mtu anataka msaada wa shetani.
Kwa hiyo uwezo wako wa kufikiria ndio umeishia hapa?
Duu halafu nyie ndio tegemeo la chama...!!!LAHAULAH...!!!
Mwehu wewe! Magamba wote wehu!
angekua wa moshi asingetelekezwa
Tulia dawa ikuingie vizuri gamba mkubwa wewe
Mbona umepanic sana dada? Una maneno machafu sana
Hiyo single haikuuza na haita uza....
Kazi ya magamba ni kutoa watu kwenye mada...changia mada acha bla bla bla za magamba!Hujielewi wewe
Ukileta majibu machafu unapata majibu machafu as well. ...magamba wewe
Kazi ya magamba ni kutoa watu kwenye mada...changia mada acha bla bla bla za magamba!
laki si pesa ccm wanachezea kodi zetu
Hapo ndipo ulipologewa! unaimbishwa nyimbo za kipumbavu na wewe kama zuzu unaimba kwa sauti kubwaaaa!!!! halafu unajitangaza kwamba na wewe ni Great Thinker! Si kushangai sana kwani hiyo ndio ajira mliyopewa na vicheche wasiofikiria!angekua wa moshi asingetelekezwa