Hongereni CHADEMA


Safii sana chama dume
 
hongera sana viongozi wangu wa CDM kwa moyo wa uzalendo kusaidia wasiokunacho Mungu awazidishia mlipotoa ..ccm wanazunguka nchi nzima na kinana kuwahadaa na kuwadanganya wananchi hawa wahuni wa ccm hawafai kuwepo tena madarakani .VIVA CDM DAIMA
 
Hapa siyo sehemu husika
 

hakuna mkopo hapo ni utapeli tu
 
kipengele cha ukomo wa uongozi mbowe alikiondoa kinyemela.. Chadema mmiliki wake ni Mtei na msimamizi wake ni mkwe wake Mbowe..

Ni heri na kukutana na mnyama mkali kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake
 
Ni heri na kukutana na mnyama mkali kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake

acha matusi mkuu. Kama umeishiwa hoja acha ma Great Thinker tuchangie hoja za maana kwa mustakabali wa nchi yetu
 
acha matusi mkuu. Kama umeishiwa hoja acha ma Great Thinker tuchangie hoja za maana kwa mustakabali wa nchi yetu

Sio kosa lako ni kosa la mfumo, yani hata unachochangia hukijui na hili ndio tatizo la ccm, kuna wakati huwa nawaza kimyakimya kuwa hivi kuwa mwanaccm ni kuwa mpumbavu? Action speak louder than words
 
Nilitaka Chadema wamsaidie.. Au mlimtelekeza kwa sababu hatoki kaskazini?

Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kama wewe unavyoangamia kwa kukosa akili na utashi chadema hatuna udini wala ukabila labda huku kwenu ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…