Mbowe ComapanyCHADEMA ipi?? Mbona kuna watu wanasema kuwa ni mali ya Mbowe??
Haya tusubiri October 2020 tuone kama vijana ni bora zaidi. Tena hawa .com!!Kwa kifupi kabisa, nawapongeza CHADEMA kuwekeza kwa vijana; chama.chochote cha siasa kinategemea nguvu ya vijana....CHADEMA ya sasa ni ya vijana...vijana wameshika hatamu
Kwa sasa CHADEMA naona wazee wakikimbia na vijana wapo safi na ari kubwa mno..
Kiongozi imara wa taasisi yoyote ile ni lazima aweke uzito kwa vijana..
Siongei zaidi nimemaliza....yaani kuna mpishano ...wazee anakimbia sababu siasa zao za kizamani zinafeli kufanya kazi .....vijana wasomi nao bila azizi wanakama nafasi na kufanya siasa za kisasa yaani Digital Politics.
Nikiangalia taasisi ya umoja wa vijana CHADEMA kweli kabisa naona mwanga mkubwa mno mbele yao....imeiva!!
Hongera sana uongozi wa sasa kufanya mabadiliko haya!! Ku inpower vijana si kazi ndogo....Mpo vizuri ukweli lazima tuuseme hadharani!!
Mbona kinafanya mambo yake ki mwaka 47?Chadema nichama cha wasomi tupu.
Hiyo ni typing error tu mmakonde!Kama huwezi kuandika maneno ya kiingereza kuna haja gani ya kulazimisha?
Hivi huyu Mbowe ni milionea wa Tz sasa?? Mbona kaweza kuwanunua hawa vijana wetu?
CHADEMA ipi?? Mbona kuna watu wanasema kuwa ni mali ya Mbowe??
Inaelekea shimoni jitahidi kuiombea labda itapona!!Mungu ibariki Chadema
Kuhusu kununua vijana sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .Hivi huyu Mbowe ni milionea wa Tz sasa?? Mbona kaweza kuwanunua hawa vijana wetu?
Naona umekuwa brainwashed na kiingereza. Pole sana!!Usilazimishe kuandika kingereza wakati kinakupa shida.
Hiyo ni typing error tu mmakonde!
Mbowe pesa zake huweka Dubai mkuu hapa huwa anatumia pesa za walalahoi wa saccos ya Chadema akina nyinyi.Kuhusu kununua sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .
Nitumie akili gani hapo sasa wakati mnatununua?? Hiyo kampuni nadhani haipo TzKuhusu kununua vijana sina maoni yoyote , lakini ili kutoa hukumu ya faini kwa viongozi wa Chadema ilibidi Akaunti ya bilionea Mbowe ifungwe kwanza , sasa akili ni kichwani mwako .
Uoni kuwa amekosea tu hapo badala ya kuandika Company akaandika Comapany very minor error!!Sasa comapany ndo nini , unajiabisha mkuu.