Hongera ZBC/ZBC2 Kwa Picture Quality,Changamoto Mpya kwa TBC

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Miaka miwili ilopita Tvz(Zbc)ilijulikana zaidi kama TV iliokua na kiwango duni kwa muonekano wa matangazo yake kwa maana ya video/audio,Na Tvt(TBC) Kipindi cha nyuma walikua na Quality(Video Resolution) nzuri sana wakati ule!Shida niliona walipokuja ingia ktk mfumo wa digital, kiwango kile kikapotea!Nilisikiaga tetesi kua mwanzo walitumia technology ya Sony Japan na baada ya kuchange to digital wakatumia tech-soft ya hawa wachina Startimes sijathibitisha hilo,sasa hapa mida hii naangalia Zbc coverage ya mazishi ya Rais mstaafu Mzee Jumbe nimevutiwa sana na kiwango cha matangazo mwonekano wa picha na sauti,na nimejaribu kushift to TBC Chanel na kurudi Zbc tena TBC na kurudi Zbc2,aisee tofauti kubwa!sijaamini Leo hui Zbc2 inakwenda sambamba na Dstv...Nililipia kupitia decoder ya Azam kifurushi cha chini kabisa lakini napata live coverage ya Olimpiki kwa 24hrs!tena michezo yote!Hongera kwenu Zbc mmebadilika sana mnatupa burudani tosha kwa kiwango bora tokea michuano ya euro 2016 hadi sasa pasipo malipo yaani special package,ubora wa picha zenu sasa unakimbizana na Dstv,Azam TV mpo juu..na hii in changamoto mpya sasa kwa TV yetu ya Taifa.
 
Asee bora ungewasifia ZBC 2 ambayo inamilikiwa na Bakhresa siyo ZBC wanatia kichefuchefu rangi mbaya
 
kwa wasiofahamu, zbc2 inasimiwa na uongozi wa azam media kuanzia urushaji wa signal mpaka content.nyuma ya ubora wa picha na sauti wa zbc2 ni team ya wafanyakazi wa azam tv.
 
Back
Top Bottom