hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,812
Reaction score
63,268
PJ WA REDIO CLOUDS NA KWITEMA WA MAJIRA, WAHITIMU

Wahitimu wa Shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Jeff Shelembi, Leonard Magomba, Emmanuel Kwitema na Paul James almaaruf PJ wa Clouds FM wakijadiliana jambo baada ya kuvishwa shahada zao katika mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.mia​
 
Alikuwa anasoma saa ngapi maana kila siku nilikuwa nakutana naye Mtekenyo Bar.

"Shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira".....HIYO NI KAMA ILE SHAHADA YA PERFORMING ART AMBAYO UNASOMA HUKU UKIKATA VIUON JUKWAANI MKUU!!...HAPO ULIPOKUWA UKIMWAONA ALIKUWA CLASS...

hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo, INATEGEMEA NA BACKGROUND YAKE, KAMA HAKUHITIMU VIZURI SHULE YA AWALI NA PILI , LABDA AANZE NA QUALIFYING TEST EXAMS (QT)..
 
roma anaziita digrii za kikuda.
this is not true

kuna walkati alikua anachukua likizo na vilevile sidhani kama alikua kwenye vipindi jioni... and just to add on it, some sports bar programs were recorded, so angeweza kurekodi na kuacha wengine wa-run program
 
"Shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira".....HIYO NI KAMA ILE SHAHADA YA PERFORMING ART AMBAYO UNASOMA HUKU UKIKATA VIUON JUKWAANI MKUU!!...HAPO ULIPOKUWA UKIMWAONA ALIKUWA CLASS...

hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo, INATEGEMEA NA BACKGROUND YAKE, KAMA HAKUHITIMU VIZURI SHULE YA AWALI NA PILI , LABDA AANZE NA QUALIFYING TEST EXAMS (QT)..

dharau mkuu, dharau
 
Tumaini ..Makumira? Ni University au college? Kiko wapi?.... Placebo Degrees!
 
Hongera PJ ingawa kwa iyo picha sijui nod yupi?
 
Kibonde aende kuanza QT, maana hana qualifications hata za kusoma certificate

hahahaaaa...!!mkuu hii ni hatari.lakini mdomo wake unampa kula.sasa anatangaza kipindi cha nssf.mambo si mabaya kwake.siku ukitaka kuoa muite awe mc..anamaster vizuri sana.vilevile anafanya kazi za chama cha magamba.mia
 
hahaaa mtekenyo bar iko api hii niedekesho nikishakula pilau la mama gaude....
 
Kibonde ana Division 0.. hata certificate hawezi kuchukua.
 
Back
Top Bottom