hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

Alikuwa anasoma saa ngapi maana kila siku nilikuwa nakutana naye Mtekenyo Bar.

Mkuu hizi ndio degree za kununua hata PJ lol!! Ngoja nikamwambie bibi yangu kule same aje kusoma....
 
kwani ameitwa kibonde maana ya kibonde wa elimu ? Au kimaisha? Tuangalie na majina ya kuwapa watoto wetu wasiji kuwa vilaza/vibonde
 
kwani ameitwa kibonde maana ya kibonde wa elimu ? Au kimaisha? Tuangalie na majina ya kuwapa watoto wetu wasiji kuwa vilaza/vibonde

kwani kibonde ndo jina alopewa na wazazi au ni jina la mtaani(a.k.a)?.mia
 
Back
Top Bottom