Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,128
- 122,563
Mkuu maswali yako bana.

Mkuu maswali yako bana.

Hiyo yako ni nzuri tena imekaa kiheshima sana, inareflect tabia yako ilivyoSio kwamba msitupe sifa. Namaanisha wasitusakame na avatar tulizoziweka kama ni nzuri tupeni tu sifa kwa niaba.
![]()
![]()
![]()
Ahsante sana mkuuHiyo yako ni nzuri tena imekaa kiheshima sana, inareflect tabia yako ilivyo

Usijali kuwa na amani bana.

Nimefurahi tu mkuu.

Evelyn kumbe mjini wote mpo hivyoKaribu mjini
Mie ni mwanaume
Sawa. Misstrace ila siku moja weka halisiKwa hizi hizi picha zetu fake pamoja na majina ila tunashukuru bhana.
Poa poa. Karibu tena bro.