Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
sijasema wote..wengine hapo ni tofauti kabisa na walivyo in real life Take it from me
sijasema wote..wengine hapo ni tofauti kabisa na walivyo in real life Take it from me
Ahsante sana kwa kunipenda pacha.Nisipokupenda pacha ina maana nam sijipendi hahaha lazima umpende pacha wako, kama ulikuwepo nimevunga nmetoka bila sweta kuingia ofisini nahisi baridi
Mbona unanikimbia mapema hivi?Ahsante sana Mangi nashukuru kama na wewe umeliona hilo.![]()
Uwe na siku njema Mangi.
Ahsanteee nitagonga kahawa hapa nitakaa sawa tuAhsante sana kwa kunipenda pacha.![]()
Pole na baridi pacha ila kukichangamka nina imani utakaa sawa.

Mbona unanikimbia mapema hivi?
pole basi Mangi. Mmmmh![]()
![]()
pole basi Mangi.
Kumbe hujamaliza?
Hayo ndio maneno pacha yaani hapo fasta mwili unakaa sawa.Ahsanteee nitagonga kahawa hapa nitakaa sawa tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Poa pachaHayo ndio maneno pacha yaani hapo fasta mwili unakaa sawa.![]()
![]()
Uwe na siku njema pacha.Poa pacha

Na kwako pia hny penda Sana'a wwUwe na siku njema pacha.![]()
Hiyo avatar ndio wewe mwenyewe mkuu?Karibu mjini
Duh emmyta sawaSwahiba sio kwa kupaliwa huko. Pole.
Nikupe maji ya baridi?![]()
![]()