mwalimumpole
Member
- Oct 17, 2010
- 48
- 0
Asanteni wana ruvuma kwa ukombozi, huku mbeya sugu kapeta
Mtanzania01, kwani mbona hata mimi nilimchagua Kikwete mwaka 2005,. Nlitegemea kuwa angeleta mabadiliko amabayo tunategemea sasa. Angalia alivyotugeuka kaka. Inasikitisha kakamatokeo ya awali kusema kweli yanaleta hamasa inaonyesha jinsi gani Tanzania ya leo si ya 2005
Mwalimpole unajua nilitia sana wasiwasi juu ya kwetu Ruvuma! Sababu kule kwetu mwamko wakati huo ya miaka ya 90 sio kama mikoa mingine. Hapa niko nhi ya wagagagigikoko mahozi yananitoka kwa furaha. Hao watu wangu kwa kweli wamevumilia na wameamua. WAKUNYUMBA NIVEMBA APAAAAAAAAAAAAAAAAAAsanteni wana ruvuma kwa ukombozi, huku mbeya sugu kapeta