Elections 2010 Hongera wana Ruvuma, Iringa, Mbeya, Kilimanjaro nk

sugu moto chini*5
hoho hoho hoho hoho hoooooo.................
ni moto chini......!

CHADEMA here we come!
 
Bwana asifiwe, we are free, we are free at last, mungu endelea kutubariki
 
hiyo ndo mikoa inayojielewa, hapo nasubiri na mara
 
allahu akbar! allahu akbar! alhamdulillah! pamoja tutashinda kwa matokeo hayo
 
Hapa nilipo natamani nipge kelele za Furaha mpaka JK anisikie na wapambe wake Kinana na Makamba.
Sasa ndiyo watashika adabu.

Tusubiri mpaka mwisho tuone kama watapata huo ushindi wa kishindo wa 80%!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ITAKUWA NI NDOTO YA MWENDAWAZIMU KUPATA USHINDI WALIOKUWA WANAUTEGEMEA.

HONGERENI SANA WANA,MAPINDUZI MLIOIPIGIA CHADEMA.
GOD BLESS YOU ALL. BLESSED BE THE NAME OF THE LORD.
 
Glory be to God!!!
Nafurahi sana kuona ndugu zangu hapo Mbeya kuongozwa na SUGU!
 
matokeo ya awali kusema kweli yanaleta hamasa inaonyesha jinsi gani Tanzania ya leo si ya 2005
Mtanzania01, kwani mbona hata mimi nilimchagua Kikwete mwaka 2005,. Nlitegemea kuwa angeleta mabadiliko amabayo tunategemea sasa. Angalia alivyotugeuka kaka. Inasikitisha kaka

 
Asanteni wana ruvuma kwa ukombozi, huku mbeya sugu kapeta
Mwalimpole unajua nilitia sana wasiwasi juu ya kwetu Ruvuma! Sababu kule kwetu mwamko wakati huo ya miaka ya 90 sio kama mikoa mingine. Hapa niko nhi ya wagagagigikoko mahozi yananitoka kwa furaha. Hao watu wangu kwa kweli wamevumilia na wameamua. WAKUNYUMBA NIVEMBA APAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Amani na iwe kwenu!! sikutegemea kama Ruvuma ingebadilika, maana nimekaa pale napafahamu sana!
God is Great!!:israel:
 
Muda kidogo uliopita star tv walisema ccm imechukua kata 20 na chadema 14 huko mbeya.Iweje sugu ashinde wakuu?Anayeweza kuthbtsha nangojea haraka nianze kurukaruka.Kama namuona Ruge ivi anavyokuwa mdogo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom