Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
huwa wanawenywesha nini huko watu waa mbogamboga? Mbona kama akili zimeruka.
 
1747937504684.jpeg
 
Nalipongeza jeshi liendelee hvyo hvyo wakati ujao tutawasila
 
Hongera sana Wambura, nimeona kwa Mange umedeposit Milioni 100 ndani ya siku moja.

Na una salio la BILIONI 1 CRDB Bank.

Chapa kazi. Kwani ulipewa bunduki za kazi gani?
 
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
🚮
 
Mnajitekenya na kucheka.
Kuna wahuni wanakula mabilioni ya maza kwa kupika habari za uongo.
Ni kama kipindi cha Jiwe badhite alivyokuwa akimjaza upepo mpaka akakodi jeshi toka SA limlinde.
 
Back
Top Bottom