Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Kuna mahali jeshi la Polisi linakosea mno kutembeza kichapo kwa Kunguru wa Kenya.

Yule Mwangi eti anatembea anachegemea kwa kushikwa',for sure?''.alitakiwa abebwe kwenye machela azinduke baada ya kama wiki nne hivi kwa kipigo kizito.
Hivyo walivyomdunda inatosha,najua hana hamu,siku tatu tu kakonda
 
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
Usinijumuishe kwenye upuuzi wako mxiuuuuuuuuuu,
 
Tafuta pesa mbwa wewe acha kubeba dhambi zinazogusa Damu za watu, unajitengenezea laana mbwa wewe
 
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
You must be crazy .Gen Z has hacked our government account. We have been exposed
 
Hacker wapo ulimwenguni kote ndugu.

Alafu uwe Hacker alafu pesa huna si uboya huo?

Wangehack basi BoT wachote pesa tungeona wana akili.

Next wajaribu tena kuja Tz kuleta ushoga wao
 
Inawezekana tukachukulia rahisi lakini waTz wanaofanya shughuli zao Kenya, kwa akili zao yanaweza kutokea ya south africa
 
Back
Top Bottom