Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

Kuna baadhi ya ripoti za uchunguzi ambazo yatakiwa zibaki ikulu kwa sababu maalumu hadi muda muafaka ufike!
Kwa mfano vyombo vyetu vya kiusalama vikileta ripoti kuwa Mzee Ally Kibao
( Allaah amrehemu ) aliuawa na watu waliotumwa na John Heche Makamu mwenyekiti wa sasa wa chadema utakubali?!
Eti sababu maalum, hivi aibu huoni?

Hivi unafikiri watu mliokuwa mnawaona 1970 ndio akili zile zile.?

Yaani Heche awe ametuma watu kumuua mzee Kibao polisi wawe wamekaa kimya tu wakati Heche huyu tu , kwenda kushuhudia kesi mahakamani alizuiliwa tena wakiwa njiani kwenda na wakamkamata?

Make it make sense.
 
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
Ujinga raha
 
Na kufuatana na taarifa mblmbl inaelkea wanaharakati mmetenda. Hongereni xana
 
kwa kwel pongeza kwao, intelijensia ni muhimu sana haswa kipindi iki tanzania inataka kuchukua ukubwa wa afrika mashariki
 
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.

Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.

Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike

Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .

Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.

GM
Ndiyo ushahidi mliotengeneza kujibu mahakamani ya ICC? Na kina Mdude, na wengine walikamatwa na silaha.

Ndiyo maana mama yenu anarushwarushwa mitandaoni kama mdoli.

Ila tunashukuru wakenya watawaelimisha maana ya diplomasia. Mapoyoyo hayaishi Tanzania jamani bado wapo zama za ujima.
 
Back
Top Bottom