Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

wa majambo

Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
50
Reaction score
26
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza chombo cha habari Tv na Radio Imaan kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuelimisha jamii,mfano mzuri ndani ya siku tatu hizi wamekuwa wakikemea vikali kuhusu upotoshaji kwa jamii juu ya hiki wanachoita sikukuu ya wajinga na madhara yanayotokana na upotoshaji huo na jamii inaonekana kuelewa kwa kiasi kikubwa na kubadilika tofauti na zamani ilivyokuwa inachukuliwa uzito na watu kuimplement udanganyifu wa siku kama ya leo.keep it up Tv Imaan na Radio Imaan we are together.
 
Kumbe hizi media zipo? Zamani walikuwa wanatangaza matangazo ya kukera sana labda wamejirekebisha
 
Safi sana...vipi wameajili na watangazaji wa kike....?maana sijawai sikia saut ya mdada wala mmama
 
Safi sana...vipi wameajili na watangazaji wa kike....?maana sijawai sikia saut ya mdada wala mmama

Mbuzi mzee..Inaonesha Wewe Unachangia Mada Kiushabiki Tu,watangazaji wanawake Mbona Muda Mrefu Wanatangaza Runingani Na Redioni Wewe Mara Ya Mwisho Kusikiliza Radio Imaan Ilikuwa Mwaka Gani?
 
Last edited by a moderator:
Aisee wale watangazaji wa kike unaweza ukapishana nao barabarani usiwatambue maana wamejifunika full hata jicho huoni!
 
elimu bila mipaka

Mh!! Elimu bila mipaka!! Mimi ninachojua kila kitu kina mipaka!! Mungu mwenyewe ameweka mipaka, au ulimuona hana akili kukuwekea mipaka??? Kitabu chenu wenyewe kimeweka mipaka katika kila jambo au hakijaweka?? 'Freedom Without Limitation Is Nothing'. Usikariri Propaganda!!!!
 
huwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru!!!!!!!

Hilo giza ni lipi na hiyo nuru ni ipi ???Hao wanaowatoa wenzao kutoka kwenye giza na kuwapeleka katika nuru ni watu gani hao ?? Usikurupuke na hadithi za kukariri!!!!
 
Hilo giza ni lipi na hiyo nuru ni ipi ???Hao wanaowatoa wenzao kutoka kwenye giza na kuwapeleka katika nuru ni watu gani hao ?? Usikurupuke na hadithi za kukariri!!!!

mtu anakutoa kwenye ujinga na anakupeleka kwenye uelewa ni sawa amekutoa kak giza na kukuleta ktk nuru . inaonekana wewe huko ulipo ni kwenye giza njoo kwenye nuru ujitambue
 
Back
Top Bottom