itakiamo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,087
- 1,896
Mh!! Elimu bila mipaka!! Mimi ninachojua kila kitu kina mipaka!! Mungu mwenyewe ameweka mipaka, au ulimuona hana akili kukuwekea mipaka??? Kitabu chenu wenyewe kimeweka mipaka katika kila jambo au hakijaweka?? 'Freedom Without Limitation Is Nothing'. Usikariri Propaganda!!!!
vyovyote ulivyoelewa,kuna tatizo kwani?