hahaaah...ni kweli mkuu maana tunajua kuwa kibongobongo muziki haulipi ndo maana wasanii wetu wanaishi kama ombaomba wanagongea hadi sigara na bia...na nimewahi kusikia jamaa huyu tunda kuwa naye ni miongoni wa wasanii wanaobebeshwa madawa ya kulevya, wengine wanaotuhumiwa kub ebeshwa ni kama wafuatao
>mr blue
>dogo hamidu
>matonya
>ney wa mitego
wengine mnaweza kunisaidia wanatakiwa kujua kila kitu kina mwisho wake ivo wakae wakijua hilo,lakini kama wanasingiziwa basi tunawapongeza kwa mafanikio yao