Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Ni sawa na mama mjamzito unamwambia hongera wakati bado hajajifungua?
Tz 3 Mor 1.
Samata 2
Ulimwengu 1
Inaitwa TP Mazembe Combinenga.
Wakuu niulize tu, hiv i hii mechi ya kirafiki au?
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Ndugu unakosea, hatuwezi kusubiri mpaka tumechukua kombe la dunia ndio tuipongeza Stars. Kila hatua ya kimaendeleo inabidi tuipongeze. Hata waliofika uwanjani hawakusubiri mpaka goli liingie ndio waipongeze, kabla hata ya mchezo wapo mashabiki walitengeneza bango kuonyesha 3-0. Watu uwa hawafanyi hivyo unavyopendekeza wewe! Ni sahihi kuipongeza katika hatua za awali, hasa kuifunga goli 3 timu kama ya Morocco, sio kazi ndogo kaka. Stars wanastahili pongezi. Tena leo, hatuwezi kungoja kesho!Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
ana ghubu huyo, kila kitu kulaumu na kulalama tuKwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.
Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Hivi nyie mamburura mna akilki kweli?
Kwa hiyo kwa sababu bwanaako DJ kasema muandamane basi hata kwenye threads za kuleta faraja mnaingiza ujinga wenu
NG'OMBE KASORO MKIA