Hongera Sugu kwa kazi nzuri

Hongera Sugu kwa kazi nzuri

stupd,kisa walimuita kikao kujadili maendeleo d.c akaleta siasa,mr2,mheshimiwa aka-mind kuona d.c analeta siasa na si maendeleo kama alivyosema...
 
Sugu jana kaonyesha ujinga wake kamtukana mkuu wa wilaya.
Tatizo wateule wa jk wengi ni mapungu.............ani.wanashindwa kutofautisha maendeleo na siasa.wanawaza kumfurisha jk kwa kuwabana wapinzani
kwenye majimbo walioshinda.Yule mkuu wa wilaya ni kweli ni mpumbavu na mjinga kama alivyoambiwa na Sugu.(aache ujinga na upumbavu Huwezi kumfurahisha MNAFIKI KAMA KIKWETE.)
 
stupid sio tusi ni hali halisi ya huyo mkuu wa wilaya! Sugu amemwitz stupid kwa sababu ya mtazamo wake wa kichama kwenye issue za kuletea wananch maendeleo
 
mkuu wa wilaya alileta siasa kwenye maendeleo...angalia mana ya neno stupidity ndo utajua sugu alimaanisha nn??
 
stupid sio tusi ni hali halisi ya huyo mkuu wa wilaya! Sugu amemwitz stupid kwa sababu ya mtazamo wake wa kichama kwenye issue za kuletea wananch maendeleo

Mie naona angemwambia Konyo!!( kinyumechake)
 
Stupid ni tusi? Exaggeration.....
Kama hamyajui matusi msikilizeni mzee makamba!!!!
 
hao mnaoita wakuu wa wilaya ni vibaraka wa cc,,, lazima wapewe mshahara wao popote pale kwa usaliti kwa wananchi. wana kazi gani kwani? kazi zote zinafanywa na mkurugenzi wa jiji au manispaa au wilaya. wao wana taaluma gani? Bravo SUGU

  • A%20S%20angry.gif
    :becky:

 
kalipi gharama za ujenzi wa hizo barabara? au kafanyeje haswa
 
Back
Top Bottom