Tokea Jana Ndiyo Nilithibitisha Kuwa Hakika ELIMU Ni Tatizo Tanzania Na Niliwashangaa Watu Wengi Kuanza Kuuliza INTERNATIONAL RELATIONSHIP Ndiyo Nini Halafu Kuna POPOMA Mwingine Akanibishia Kuwa Huwa Hakuna PGD Ya Hiyo Kozi Na Nimesikitika Tena Asubuhi Hii Na Wewe POPOMA Kuingia Ktk Mtego Ule Ule Wa Kundi La Ma " LUMPEN " Mliotukuka. Nilichogundua Ni Kwamba Wasomi Wengi Wa Kitanzania Mnaishi Kwa Mazoea Na Huwa Hampendi Kufanya UTAFITI Mdogo Tu. Kuna Vyuo Vingine Hiyo Kozi Huiita au Huiandika FOREIGN RELATIONS Lakini Pia Kuna Vyuo Vikuu Vingine Kozi Hiyo Hiyo Huiita INTERNATIONAL RELATIONSHIP Japo Najua Nyie Mlitaka Niandike INTERNATIONAL RELATIONS Lakini Kama Wewe Ni " Wordsmith " Ktk Lugha Nzima Ya Kiingereza Nilivyoandika Ile Jana Wala Usingenishangaa Ila Tatizo Kubwa La Watanzania Wengi Ni " Language Barrier ". Vyuo Vingi Vya South Africa, Canada, UK Na USA Wanatoa Kozi Hiyo Na Huiit Hivyo Hivyo. Kurudi Ktk Hoja Yako Ya Pili Kuwa Ni Kwanini Sasa Nafanya M.A. Yangu Ya MASS COM Lakini Naandika Hivi Nadhani Utakuwa Ni Mgeni Kwangu Na Pia Nina Wasiwasi Na IQ Yako. Ninachokifanya Ni Kutengeneza Tu Trademark Yangu Ili Nijitofautishe Na Wengine Na Labda Nikuambie Tu Uandishi Wangu Huu Huu Wa Kila Herufi Kuanza Na Herufi Kubwa Umeweza Kuwavutia Wengi Na Wapo Baadhi Yao Walioanza Kuuiga Kama Ambavyo Members Wengi Sasa ( Wewe Ukiwemo ) Mlivyolipokea Vizuri Sana NENO MSAMIATI Langu Pendwa La " POPOMA " Na Sasa Linatumika Si Tu Humu JF Bali Hata Nikiwa Sehemu Mbalimbali Humu Maofisini Huwa Nasikia Watu Wakiitana Hivyo. Jaribuni Kidogo Watanzania Kuwa Mnafikiri " Outside The Box " Mtaiva Na Kuwa Vizuri Upstairs.