Nilikwepo hiyo siku, kijana alikuwa nafuraha kurudi kundini baada ya upweke wa miezi nane bila kumwona hata balozi tu wa CHADEMA huko Urughu. Akieleza sababu za kurudi CCM, BW Tyosela alisema amekasirishwa na vitendo vya kutokujiheshimu kwa viongozi wa chama hicho akianzia na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kwa wabunge wakati Rais wa nchi akilihutubia bunge, pia alisema amekasirishwa na vurugu na maandamano ya kila leo akisisitiza kwa machungu maandamano yaliogharimu maisha ya watu huku slaa akidai ni ya amani, pia alisema amekasirishwa na vitendo vya chadema kutokuheshimu sheria mpaka ya mahakama. Pia bwana Tyosela alisema alifikia uamuzi huo alipokaa vikao zaidi ya vitano vya ndani vya chama hicho mkoani singida ambavyo kati ya hivyo VYOTE HAVIKUWA NA AGENDA YA MAENDELEO ILA VILIKUWA VINAJADILI UHARIBIFU, VURUGU NA KUPINGA MAENDELEO, kitu anachosema kilimuudhi na kuona kuwepo ndani ya chama hicho ni kinyume na malezi aliyopata na kinyume cha malezi ya kizalendo ya watanzania.
And what else would he say!!!!?unategemea msaliti kuja kwako na kusema ukwel halisi toka rohon kuhusu kuhama kwake?chadema kama vyama vngne vya upinzan havina hongo,marupuruku nk,ujue weng wanaingiaga kwenye siasa akiwa na matarajio ya kuukwepa umaskin na c kwa nia ya dhati kuinua eneo lake,na ndo alivyoona atatoka uongozin bila utajiri bs kaondoka,na ama kwel kodi za wanyonge atazifaid,mana hata mie nkipenda kuingia mzigon ntazila cna,ni nature ya ubinafsi wake,njaa 2pu