Unahitaji mzee mmoja tukuozeshe?Yanga wanayo nafasi ya kusonga mbele, kwa namna wanavyocheza. Wachezaji wako fit, Wana kasi, na wanatia matumaini.
Simba labda wafanye usajili. Ushindi Jana wameupata lkn wachezaji hawaoneshi uhai. Timu bovu, timu limekufa, timu lomejaa wazee.
Hah aisee mahaba ni makubwa!Tofautisha Waydad na Mediama mkuu.Simba kacheza na timu ngumu sanaaaaaa kuliko Yanga.Yanga wanayo nafasi ya kusonga mbele, kwa namna wanavyocheza. Wachezaji wako fit, Wana kasi, na wanatia matumaini.
Simba labda wafanye usajili. Ushindi Jana wameupata lkn wachezaji hawaoneshi uhai. Timu bovu, timu limekufa, timu lomejaa wazee.
Umevurugwaa weyee, mfyuuuuhYanga wanayo nafasi ya kusonga mbele, kwa namna wanavyocheza. Wachezaji wako fit, Wana kasi, na wanatia matumaini.
Simba labda wafanye usajili. Ushindi Jana wameupata lkn wachezaji hawaoneshi uhai. Timu bovu, timu limekufa, timu lomejaa wazee.
Kwa uchezaji Asec atajipigia Simba goli nyingi sanaHah aisee mahaba ni makubwa!Tofautisha Waydad na Mediama mkuu.Simba kacheza na timu ngumu sanaaaaaa kuliko Yanga.
Na nafasi ya Yanga ni ngumu ktk kufuzu kuliko Simba
Tatizo umetekwa na mahaba ya timu, hutaki kuambiwa ukweli. Unaona second half jinsi timu lilivokuwa likicheza? Wazee walikuwa hoiUmevurugwaa weyee, mfyuuuuh
😛😂KweliHapo kwenye posho ndio tatizo linapoanzia🤔
Gundu tenaa🚴🚴Hilo shairi lako lisunde Hadi wafuzu round of 16 usije kuwapa gundu
Wewe ndio mkuda katika Uzi huuUmevurugwaa weyee, mfyuuuuh
Umejiandaa na matusi ya vijana wa Rage?Yanga wanayo nafasi ya kusonga mbele, kwa namna wanavyocheza. Wachezaji wako fit, Wana kasi, na wanatia matumaini.
Simba labda wafanye usajili. Ushindi Jana wameupata lkn wachezaji hawaoneshi uhai. Timu bovu, timu limekufa, timu lomejaa wazee.
AsanteeShairi zuri sana.
Mimi ombi langu wote Mungu awasaidie Taifa lipate heshima kupita waoYanga wanayo nafasi ya kusonga mbele, kwa namna wanavyocheza. Wachezaji wako fit, Wana kasi, na wanatia matumaini.
Simba labda wafanye usajili. Ushindi Jana wameupata lkn wachezaji hawaoneshi uhai. Timu bovu, timu limekufa, timu lomejaa wazee.
Wewe ni mzalendo halisi[emoji1548][emoji173]1. Simba na Yanga hongera, kujipa nguvu nyumbani
Mmeonesha ubora, bara pia visiwani.
Mmeionesha dira, kwamba mmekuza Fani
Kaza buti msikwame, shikilia hapohapo
2. Kaza buti msikwame, shikilia hapo hapo.
Msitari msihame, kwepa tabia ya popo.
Kwa kabumbu mjitume, kataa kuwa makopo.
Kaza buti msikwame shikilia hapohapo
3. Kwenye hili Simba yanga, muutafute Umoja.
Hapo ndipo kuna mwanga, mkiufunga mkaja.
Mtayaleta majanga, kwa ugomvi uso tija.
Kaza buti msikwame shikilia hapohapo
4. Niseme neno la mwisho, kabula wino kuisha.
Ushindi huja kwa jasho, mazoezi mkikesha.
Bila kutazama Posho, cheza bila kujikosha
Safari mliyoanza iwe njema kwa ushindi
Asante
Mpira hautegemei maombi. Ingekuwa hivyo basi Mecca, Saudi Arabia na Roma, Italia wangekuwa ndiyo wanachukua makombe ya dunia kila mara.Mimi ombi langu wote Mungu awasaidie Taifa lipate heshima kupita wao