Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Ni jambo jema sana kuhudumia jamii ya kitanzania, nawapongeza sana!
 
]eti 'na pia 2mieni' inamaan waislam ndo wamewachagua viongoz wabov ambao mpaka ss wamesababisha taifa le2 kukosa maendeleo? Acha unazi ww![/SIZE]

......

Ukweli unauma. misikiti 700. shule saba. mh! yaani kila misikiti 100 shule 1. usikasirike. tafakari chukua hatua.
 
hongereni sana. mwanzo mzuri. fanyieni kazi maoni (na kebehi)za wadau mzidi kusonga mbele.
ila siku cct ama rc wakipewa certificate of appreciation msilalamike tafadhali.
 
Pia kwa kujali elimu na kuizingatia, the islamic
foundation wanamiliki shule saba (7) na wameweza kujenga misikiti 700 nchi nzima.

Pia wanatoa ufadhili kwa watoto wanaoshindwa kulipia gharama za masomo katika shule za msingi na
sekondari na wanategemea kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu.


......

eh hizo ndo hongera ??????

7 in 700 watoto wenu wataendelea kufeli maana hamja balance mambo madrasa nyingi kuliko shule

wenzenu wana 700 in 700...
 
Good. Ni jambo jema hilo. Mambo haya ya ujenzi wa visima nilishayazoea kusikia yanafanywa na Mzee Sabodo na chadema, kumbe hata nyie mnaweza!. Ila ongezeni na idadi ya ujenzi wa shule kama wakrisho wanavyowekeza, Mtaisaidia sana serekali na sio kulalama tu kila kukicha.
 
Hongera kwa Islamic Foundation. Vitendo ni zaidi ya maneno. Keep it up!
 
Pongezi za dhati kwa Islamic Foundation. Huu ni mwanzo, mengi mazuri yanakuja, kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Kiislamu muendelee kuihudumia jamii ya Watanzania katika social,economic and spiritual aspect.

Kwa life span ya Taasisi yenu shule 7 ni great achievement, niwakumbushe tu wachangiaji wengine kuwa Islamic Foundation si Serikali ya kuwa na Shule kila kata, Bali ni Taasisi yenye malengo ya kuhakikisha kuwa na Shule Bora na si Bora Shule !!!

Misikiti 700 isiwachome roho na kuwaumiza, ktk kila kata in the whole of Tanzania, five times a day, Muslims are supposed to worship and Glorify their Lord (Rabb), je wakaswalie mashuleni?

Still misikiti 700 kwa Tz nzima ni michache na matumaini Taasisi itaongeza idadi zaidi. Concept nyingine na speculations za wadau tunawaachia The Country Authority kuzifanyia kazi for everyone has a conspiracy theory.

Well done TIF
🙂
 
eh hizo ndo hongera ??????

7 in 700 watoto wenu wataendelea kufeli maana hamja balance mambo madrasa nyingi kuliko shule

wenzenu wana 700 in 700...


.......

Statistical-wise Tupe matokeo ya shule 700 za wenzetu, Katika miaka 5 iliyopita. Wamefaulu na kufeli kiasi gani? Mchango wao kitaifa ukoje?

I mean nchi yetu imenufaika vipi na elimu yao? Walielimika au walikuwa wana mark time? Au ndo Bora shule kama shule za kata?
 
Hongereni kama nia yenu ni njema, maana wengine kama mimi bado sijaelewa mwelekeo wa radio imaan, isije ikawa ni kuuma na kupuliza, hebu fikiria kila baada ya misikiti 100 ndo ipatikane shule moja, misikiti si mibaya hofu yangu ni aina ya mafundisho, nna hofu ni yaleyale ya Chuki na kuwagawa wa tanzania, na pili kama hii misikiti itatumiwa kufundishana karate kama baadhi yake inavyofanya, basi tanzania wanayotuletea hawa watu baada ya miaka 2 tu ijayo ni Mungu tu ndo anajua..
sina hiana, Mungu awabariki wote wenye nia njema na Taifa letu.
 

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.

Inawezekana kweli hakuna aliekanusha kwa kuwa hakuna alieisikia, labda aliongea hivyo kajifungia chumbani kwake au kanisani kwake, kwa kuwa umeileta public na tumeiona, niwe wa kwanza kukanusha kauli hiyo. Zaidi nikuombe from Authentic Islamic Sources (Quraan and Sunnah) proof ya hiyo kauli yako/yake. Ruhsa kufungua thread mpya kwa huo mjadala.
 
Naipongeza sana Taasisi hii ya The Islamic Foundation kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya hapa nchini kwetu Tanzania.

Pia naupongeza sana uongozi wa Manispaa ya Morogoro chini ya Meya wake Mhe Nondo na Mkurugenzi Bw Jorvis kwa kutambua mchango wake hadi kuitunuku Taasisi hii Cheti cha shukrani "Certificate of appreciation" katika kuleta maendeleo ya watu bila kuzingatia dini ama itikadi ya mtu.


Tunashukuru: "Mmeahidi, mkatimiza. Na ALLAH ni Shahidi"

Mwenye macho haambiwi Tazama

......

Na mwenye masikio haambiwi sikia.
Hayo ndio mambo mlipaswa kufanya tangu miaka hiyooooo sio kulalama kila wakati mfumo mfumo.....safi sana ISLAMIC FOUNDATION kwa kujenga shule JENGENI NA VYUO PIA mkiweza na hiyo bodi itakuwa vema zaidi vijana wenu wasome watokane na UJINGA na kuachana na VISASI KWA WATU WASIOHUSIKA.

BigUP sana.Ila hapo kwenye radio IMANI ikirudishwa pawekeni sawa Ahubiriwe MUNGU,ELIMU,na si mitutu.
 
Islamic foundation wanazakishwa wapiga karate.. hongereni
 
Hongereni kama nia yenu ni njema, maana wengine kama mimi bado sijaelewa mwelekeo wa radio imaan, isije ikawa ni kuuma na kupuliza, hebu fikiria kila baada ya misikiti 100 ndo ipatikane shule moja, misikiti si mibaya hofu yangu ni aina ya mafundisho, nna hofu ni yaleyale ya Chuki na kuwagawa wa tanzania, na pili kama hii misikiti itatumiwa kufundishana karate kama baadhi yake inavyofanya, basi tanzania wanayotuletea hawa watu baada ya miaka 2 tu ijayo ni Mungu tu ndo anajua..
sina hiana, Mungu awabariki wote wenye nia njema na Taifa letu.


........

Asante kwa Pongezi, nikutoe Shaka juu ya karate misikitini, karate ni for self defence 🙂, vibaka wengi mitaani, anyway ktk karne hii ya B52 na silaha zote za maangamizi unahofia karate?

Nchi nyingi karate imekuwa ni mchezo unaopendwa na source ya ajira, I don't know why in Tanzania mnapatwa na khofu na kitu kama karate.

Otherwise Serikali ishauriwe ianzishe dojo kila Eneo na vijana wetu wakafanye mafunzo yao huko.
 

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.


......

Ww roho ya ushirikini ipo kwa kakobe na wengineo acha chuki na roho ya fitina
.
 

Statistical-wise Tupe matokeo ya shule 700 za wenzetu, Katika miaka 5 iliyopita. Wamefaulu na kufeli kiasi gani? Mchango wao kitaifa ukoje?

I mean nchi yetu imenufaika vipi na elimu yao? Walielimika au walikuwa wana mark time? Au ndo Bora shule kama shule za kata?


......

Ndo tatizo la kuishi mbali na nchi zenu, naamini hauishi tanzania kwa sasa na ni mvivu wa kusoma yanayoendelea kwenye taifa lako au labda wewe mkenya.
 

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.

Ukifanya debate na mwendawazimu atakayeonekana wazim zaidi ni nani kwa hiyo hakukuwa na haja ya kumjibu ili hali jamii ya wakrist na waislam wanaheshimiana kwa iman zao.
 
Back
Top Bottom