Sahihi kabisaItoshe tu kumuita mbeba maono maana sasa yanatokea
Huyu mwana ni mwambaBila mh Mbowe leo hii cdm tungekuwa kama kina lipumba na Nccr
Arudi wapi, pale pale chato wangemtandika mawe siku hiyo hiyo akafa tena.Angerudi leo hii asingeamini macho yake
Tena sanaaaaaaaaaa!Mungu ambariki sana
Hiyo attachment haifunguki mkuuItoshe tu kusema kuwa kiongozi mzuri utoka kwa Mungu.
Mh Mbowe amekuwa ni nguzo imara sana ya upinzani hapa Tanzania na kuna baadhi ya maneno yake aliyo yatoa kwenye hotuba zake leo hii yanaonekana kutimia.
Mbowe kweli wewe ni mbeba maono na Mungu daima atakulinda kukuepusha na makucha na hasira za watu wabaya.View attachment 1808452
Hayo ni mambo ya kisheria.. eneo ulipofanyika uhalifuMtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?..
Wewe kweli kiaziMtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?...