🤣Sawa majizo tumekuskia
Hapo kwenye ubora wa Live hata Clouds wapo chini,yaani kwa kifupi quality zao zinafanana.Kiukeli kabisa mini ni Team Mond ila kwenye uwekezaji wa media zako hadi sasa naona hamna cha maana UBORA WA WASAFI TV ni wa chini sana hasahasa kwenye Live events.
yaani WBC LABELndio inaibeba Wasafi Media badala ya Media kuibeba LABEL,
Tatizo naloliona ni kuwa WAMEKAMIA SANA KUTAKA KUIFUNIKA CLOUDS kwa muda mfupi, sasa inakua too much
Uzee huu unatufanya tunapitwa na mengi, Kumbe kuna WBC Label!!!? Wacha nipakue Instagram niji-update kidogoKiukeli kabisa mini ni Team Mond ila kwenye uwekezaji wa media zako hadi sasa naona hamna cha maana UBORA WA WASAFI TV ni wa chini sana hasahasa kwenye Live events.
yaani WBC LABELndio inaibeba Wasafi Media badala ya Media kuibeba LABEL,
Tatizo naloliona ni kuwa WAMEKAMIA SANA KUTAKA KUIFUNIKA CLOUDS kwa muda mfupi, sasa inakua too much
Shida ipo hapo anataka kufika walipofika jirani zake kwa harakaKiukeli kabisa mini ni Team Mond ila kwenye uwekezaji wa media zako hadi sasa naona hamna cha maana UBORA WA WASAFI TV ni wa chini sana hasahasa kwenye Live events.
yaani WBC LABELndio inaibeba Wasafi Media badala ya Media kuibeba LABEL,
Tatizo naloliona ni kuwa WAMEKAMIA SANA KUTAKA KUIFUNIKA CLOUDS kwa muda mfupi, sasa inakua too much
Jf bwanaSawa majizo tumekuskia