Hongera sana da Fatma Karume

Hongera sana da Fatma Karume

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,337
Reaction score
14,334
Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.

Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)
 
Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopeless
 
Usituletee ujinga wako humu, Ccm Baada ya kumlisha na kushiba ndio kakaa kimya.
Kakaa kimya baada ya kurudi hijja, kaamua amtumikie Muumba wake, atafute akhera yake, aachane na kuwatumikia binadam ambao hawana shukran Kama wewe
 
Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.

Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)
nguo za tamaduni za kiarabu ndio za heshima? ila za kisukuma sio za heshima
 
Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.

Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)
Ametubu nini ?
Kuacha kusema haki inapominywa?
Au haki kwake ya kusemewa ni dhidi ya Watanganyika na hususan hayati Magu pekee ambaye wakati wake hakuuwa raia wengi kiasi kile cha 10 Oct?
 
Back
Top Bottom