Hongera sana bodi ya mikopo elimu ya juu

Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
3,951
4,264
binafsi nimefarijika sana na maamuzi ya hawa mabwana wakubwa, katika hili la kuto kutoa mikopo katika kozi za ICT (Computer science, IT, INFORMATION SYSTEMS, etc.)
sasa naamini tutapata wataalam mahiri na makini, na si wababaishaji kama ambavyo imezoeleka. yaani, wasomaji wa hizo kozi kwa sasa, watakuwa ni wale tu wenye nia ya dhati hasa, BRAVO magamba
 
Yani wewe unatumia masburi kufikiri badala ya kukosoa eti hongera! Watu wengine bhana! Infact You spoiled my day
 
Mambo ya weekend hayo watu mmepigazenu alab na NOAH mnatujia na ***** humu, ulevi ukikuisha uondoe huu ***** wako humu jamvini!
 
Nakuunga mkono
 
We unafikiri nchi hii itajengwa na watu wanaosomea hivyo tu? Hivi una akili kweli wewe?
 
Nakuunga mkono
unaunga mkono upuuzi? nyie watoto wawakubwa mnataka mbaki peke yenu kwenye hii fani maana mnajua kuwa mtoto wa maskini akipata One ya 3 mpaka 9 kutoka Mzumbe, Kibaha, Kilakala nk. hatoweza tena kuomba hiyo kozi kwa kuwa hatakuwa na uwezo wa kujilipia. Sana sana atakimbilia kozi ambazo mkopo unatolewa. Hicho ndo mnachofurahia maana wapinzani wenu kwenye fani wamemwaga na bodi ya magamba
 
wewe utakuwa mmoja wa watoto wa wale mawaziri waliomwagwa.
mdogo wangu, mimi nipo kitaani kitambo sana, ila naudhika mno na ninyi vijana mnaosoma vyuo nyakati hizi, hasa hawa wa ict, yaani anakuja ofisini hajui hata "kubofya kibodi"
 
unaunga mkono upuuzi? nyie watoto wawakubwa mnataka mbaki peke yenu kwenye hii fani maana mnajua kuwa mtoto wa maskini akipata One ya 3 mpaka 9 kutoka Mzumbe, Kibaha, Kilakala nk. hatoweza tena kuomba hiyo kozi kwa kuwa hatakuwa na uwezo wa kujilipia. Sana sana atakimbilia kozi ambazo mkopo unatolewa. Hicho ndo mnachofurahia maana wapinzani wenu kwenye fani wamemwaga na bodi ya magamba
mkuu, acha waende na kwenye ualimu sasa, na wewe ni mmoja wao?
 
We unafikiri nchi hii itajengwa na watu wanaosomea hivyo tu? Hivi una akili kweli wewe?
we mbwiga umeelewa posti yangu vizuri, ama unabwabwaja kwa kukosa mkopo? mimi nimechoshwa na utitiri wa vijana kukimbilia ict, eti kwasababu ya mkopo, mwisho wake wanahitimu bila kuwa uwezo wa kufanya lolote la maana
 
JF is never boring. The Boss hapo ndipo ukisikia aliye juu ni wa juu tu..kwa ict sasa hivi iko arts nini..
mkuu, issue siyo kuwa juu. huku makazini tunashuhudia mengi bana, dogo anakuja na bachela yake ya ict kuomba kazi, unampa "sinerio" anabaki ana mbwelambwela tu siku nzima. sasa imetosha, waende huko kwa rais wao mkoba
 
Yani wewe unatumia masburi kufikiri badala ya kukosoa eti hongera! Watu wengine bhana! Infact You spoiled my day
dogo mimi sina cha kukosoa hapo, we nenda tu kwenye ualimu, tunahitaji watu wenye nia ya dhati na uchungu wa kweli, ili waweze kuleta mabadiliko katika hii sekta ambayo umuhimu wake unaanza kuonekana. acha uzembe dogo, yaani unafurahi kuona hata projects ndogondogo zinafanywa na raia wa kigeni?
besides, mimi ni mdau mkuu mno wa ict, na hawa vijana wamekuwa wakiniangusha mno, thanks God to certifications, atleast ukimpata aliyepitia huko kidogo mnapiga mzigo.
 
Mambo ya weekend hayo watu mmepigazenu alab na NOAH mnatujia na ***** humu, ulevi ukikuisha uondoe huu ***** wako humu jamvini!
mkuu, kama una uchungu kweli, na una kijana wako na unataka asomee fani za maana, basi mlipie ada. mbona unatoa michango ya harusi kutwa, na kufadhiri vijiwe vya kilaji daily? hii ndiyo itamsababisha asome kwa umakini mkubwa, lakini pia ajitoe hasa, siyo kwenda kushinda club tu na kuishia kukariri madesa
 
Mambo ya weekend hayo watu mmepigazenu alab na NOAH mnatujia na ***** humu, ulevi ukikuisha uondoe huu ***** wako humu jamvini!
mkuu, kama una uchungu kweli, na una kijana wako na unataka asomee fani za maana, basi mlipie ada. mbona unatoa michango ya harusi kutwa, na kufadhiri vijiwe vya kilaji daily? hii ndiyo itamsababisha asome kwa umakini mkubwa, lakini pia ajitoe hasa, siyo kwenda kushinda club tu na kuishia kukariri madesa, vinginevyo naona wewe ndiyo umetoka kwenye pombe sijui, ama mna bifu na nyumba ndogo yako!
 
kuna vipaji , tiyari visha pishana na hii Coarse kwa huu uamuzi
penye nia pana njia kaka, kama ni vipaji kweli watafanya kila linalowezekana kutimiza azma yao. hao ndiyo tunao wataka kwasasa, siyo wale wakufuata mikopo tu, mwisho wa siku ndiyo maana mnaona vijana wengi wakiranda randa tu mitaani, hawawezi kufanya chochote, eti wanataka ajira!!
 
dogo mimi sina cha kukosoa hapo, we nenda tu kwenye ualimu, tunahitaji watu wenye nia ya dhati na uchungu wa kweli, ili waweze kuleta mabadiliko katika hii sekta ambayo umuhimu wake unaanza kuonekana. acha uzembe dogo, yaani unafurahi kuona hata projects ndogondogo zinafanywa na raia wa kigeni?
besides, mimi ni mdau mkuu mno wa ict, na hawa vijana wamekuwa wakiniangusha mno, thanks God to certifications, atleast ukimpata aliyepitia huko kidogo mnapiga mzigo.

BASI HATA WANAO SOMEA UDOCTOR NA UENGINEER WASIPEWE MKOPO ILI WATAO SOMA HIZO COURSES WAWE NI WENYE NIA YA DHATI. UMECHEMSHA KUFIKIRIA, UNGE SEMA WALIO FAULU KWA KIWANGO CHA Juu NA KUOMBA ICT NDO WANGE PEWA MKOPO KIDOGO UNGEKUBALIKA.
 
Back
Top Bottom