Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 3,954
- 4,264
- Thread starter
- #21
kijana, hii ni mada pana sana, ona kwajinsi ambavyo nimejiepusha kuongelea kozi zingine. huko sidhani kama kuna matatizo, unless wadau wa huko wange lalamika.BASI HATA WANAO SOMEA UDOCTOR NA UENGINEER WASIPEWE MKOPO ILI WATAO SOMA HIZO COURSES WAWE NI WENYE NIA YA DHATI. UMECHEMSHA KUFIKIRIA, UNGE SEMA WALIO FAULU KWA KIWANGO CHA Juu NA KUOMBA ICT NDO WANGE PEWA MKOPO KIDOGO UNGEKUBALIKA.
mimi nime-base kwenye ict tu, hasa kwavile mimi ni mdau, tena mkubwa hasa, lakini pia, shughuli zangu zimekuwa zikiharibiwa na hawa vijana. yaani, kwa mfano una ajiri mtu wa ku-develop database, ukimpa kazi afanye na kumuachia nafasi, mwenzako anakuja na cd yake aliyoi-ban huko chuoni kwao na kui-paste tu hapo! unatarajia ubora hapo? wewe kunguru nini?