Sasa kweli nimeamini paka hali nguru!
Thanks for the card, soooo cute. inanihamasisha kuisheherekea weekend kuanzia saa hizi... 🙂
Merci Fe Lady... Je promet de faire de mon mieux. Mais entre nous, je pense que le membre qui a commence ce poste n'est pas tres content et il est en fait contre la decision. Lis entre les lignes et tu comprendras...Félicitation!je crois que tu sera la meillure.BON COURAGE
Hongera.
Naogopa kulitaja jina lako kwa kuwa mimi ni mmoja kati ya wachache wanaokijuwa kireno.
Eu sou do pouco whi sabe que meios de Bundajo.
Naona Invisible ameona akupe shavu la umoderator! Hii ni baada ya mimi kumsisitiza sana.
Merci Fe Lady... Je promet de faire de mon mieux. Mais entre nous, je pense que le membre qui a commence ce poste n'est pas tres content et il est en fait contre la decision. Lis entre les lignes et tu comprendras...
Asante sana mpendwa.
Pourquoi?
Poa, nakuelewa. Nilidhani imeanzia hapa hapa tu...ndio nikawa nashangaa!Ni habari ndefu ndugu yangu. twende PM tusichakachui thread ya kaka Bundajo.
Sijaona umemtandika mtu BAN!Thanks for the card, soooo cute. inanihamasisha kuisheherekea weekend kuanzia saa hizi... 🙂
I'll try to be fair... within Human limits...
Kazi ya MOD sio kutoa ban mkuu. Kazi yake ni kuhakikisha members wa JF wanafaidi kutokana na threads na posts mbali mbali.Sijaona umemtandika mtu BAN!
Ina maana wewe ukiwa zamu watu wanabehave decently au?
Nje ya mada: hiyo uliyoshika ni sigara au kalamu?
Merci Fe Lady... Je promet de faire de mon mieux. Mais entre nous, je pense que le membre qui a commence ce poste n'est pas tres content et il est en fait contre la decision. Lis entre les lignes et tu comprendras...
Asante sana mpendwa.
Kazi ya MOD sio kutoa ban mkuu. Kazi yake ni kuhakikisha members wa JF wanafaidi kutokana na threads na posts mbali mbali.
Ila kuna members wanachafua hiyo hali (sometimes bila kujua) na MODs wanatakiwa kuwakumbusha ku-behave, kwa kutumia njia mbali mbali. Ban haitolewi kirahisi unavo fikiria.
Hiyo avatar imeshika sigara...
Zanga lenge tiki taka motema nangai bakulutu mtima wane na mamitoo akasegi japoloki kuku wa zabanga el Mobutu Seseseko nandini japoloki papaa Mwita25, ritz nadolii FaizaFoxy. Nakadikuu?
... Duh ...post imenifurahisha Lol.. at least ... this words was clear.. motema.., Mamitoo and the names!
Asante sana bwana/Bibi 60000. na mimi nakupongeza kwa akili yako na uwezo wako wa uchunguzi. uliingia jana tu na hii ni post yako ya 6 ila umesha jionea hayo yote ambayo wengine hawaoni... Asante sana mkuu. tuko pamoja. hahahahahahaLeo nampongeza Invisible na crew pia na recruitment agency iliofanya mchakato mpaka akapatikana RR.Ana busara,mkarimu,mcheshi hana ujeshi ujeshi,mpenda watu na anaijua kazi yake.Hakurupuki kusolve issues.Kwa huyu JF imekula bingo,nina uhakikia Ban zitapungua au kupotea kabisa.Hivi wewe utakuwaje mtu usimuelewe RR? Ukifanya kosa mwenyewe waomba msamaha.
Nakupongeza sana RR na ubarikiwe.May Lord be with you kutuongoza.Naahidi nitakuwa bega kwa bega na wewe.
Keep in a straight line na hakuna atakae kupiga Ban.Mimi napenda sana utendaji wako wa kazi RR na nina hakika hutanipiga ban tena.
Ubarikiwe,mimi ni msomaji mkongwe wa JF ila sikuwa na jina ila kwa sasa nimekata shauri na mi niwe mwenzenu.Asante sana bwana/Bibi 60000. na mimi nakupongeza kwa akili yako na uwezo wako wa uchunguzi. uliingia jana tu na hii ni post yako ya 6 ila umesha jionea hayo yote ambayo wengine hawaoni... Asante sana mkuu. tuko pamoja. hahahahahaha