Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

official scandal

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
401
Reaction score
859
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
 
Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
 
😂Unataka ku verify uzinifu??😄. Serikali haipendi raia wake muendelee kufanya mapenzi, ndio maana mlolongo unakuwa mrefu sana😛
 
Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
Kupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k.
Unakaa nyumbani unamaliza kila kitu bila mashaka.
 
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
Website haifunguki.

Vipi kuchukua cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambae tayari ana miaka 18. Mzazi natakiwa kuwa na vielelezo gani?
 
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
hovyo hawapokei simu nimetuma cheti chamdogo wangu kuhakiki kwa ajili ya loan board wameandika rejected wakati kila kitu kipo sawa na cheti ni cha 2023 napiga simu muda wa kazi toka tareh 10 hadi leo wananipigia tu mziki
 
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
1749819272168.png

Hongereni Sana Wakuu!!!
 
Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
Nashindwaga kuelewa,kwanini basi rita wasifungushe ndoa wao ama vyeti viwe vya rita tu mana cheti cha kanisa nhif hawakitambui.
Hili jambo lina uwalakini ama ni njia ya rita kujitengenezea fedha
 
Wapo kibiashara, halafu wanakosea makusudi herufi ili ukihitaji marekebisho ulipie tena, mfano James wao wanaandika Jomes, utaona hii kwenye cheti kipya siku ya kupokea
 
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
Ni Kweli Huduma Hiyo Ni Nzuri .
Ila Bado Konakona Hazikosi.
Ila Wengi wetu Tulifanikiwa Sisi Hatuangalii
Waliopo Chini yetu. Bado Kuna Mahali Hapajakaa sawa
 
Wapo kibiashara, halafu wanakosea makusudi herufi ili ukihitaji marekebisho ulipie tena, mfano James wao wanaandika Jomes, utaona hii kwenye cheti kipya siku ya kupokea
Hawajakutana na mimi ,nitawawashia moto,wakosee wao nilipie mimi
 
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.

Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.

Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,

Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.

Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower

Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/

Hongereni sana.
upande wa kuverify cheti toka juzi ukiweka entry no inasema invalid sijui wana tatizo gan aseeee
 
Back
Top Bottom