The gentleman baught us football in Kahoya when I was young, 1997, alikua anapita campaigning tulikua tunacheza ball, "lifundo" if u know it, then he promised kutuletea adidas, and he sure did by evening! I didn't vote him but he has earned my respect, yaani kumbe even Moi didn't want him to be an MP, saw in a documentary about him, meaning jamaa ni self made, a real hustler! Wueh! Nimetii walai!Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza kuwaania ubunge kwenye jimbo letu la Uasin Gishu, na umepambana mpaka leo umeukwaa urais, sina budi ila kukupa hongera.
Tawala taifa letu kwa misingi ya haki, heshimu katiba, endeleza miradi yote aliyotanguliza mwenzako, pambana dhidi ya ufisadi (japo hili la ufisadi nina mashaka nalo maana ndio sababu kuu sikukupigia kura, majina yako yametajwa sana kwenye tuhuma za ufisadi).
Wengi tutakuunga mikono, tutasimama na wewe kizalendo na kuendelea kuboresha nchi yetu, huu waraka najua hautausoma ila inawezekana wapambe wako wakapitia humu.
Big up sana William, tusonge mbele kwa mbele!!!!
Na pia shukrani za dhati ziwafikie IEBC kwa namna waliendesha huu uchgauzi, mumeweka rekodi mpya Afrika, tupo kwenye level nyingine, kwamba leo hii hata muungano na EAC kuwa nchi moja itashindikana maana labda tujishushe.
Hatimaye hongera kwa walioshinda viti vingine vyote na hata walioshindwa, sote tuboreshe taifa letu.
Watanzania siasa za kenya zinapaswa Sana kutufundishaNgoja tuone Wabongo watakavyonza kujipendekeza kwa Ruto kuanzia utosini mwao mpaka miguuni kama kawaida yao kujipendekeza kwa winners, muda si mrefu watapiga magoti ikulu kumuomba msamaha Ruto full kujidhalilisha, uzuri ni kwamba Ruto hana mpango na Tanzania na sijui hata kama keshawahi kufika, huyo yuko na Uganda.
Anyway laana aliyopigwa Uhuru Kenyata na Mungu itafika Bongo soon, hata huku ana watu wake pia siyo Raila tu, Mungu yuko fair siku zote.
Uhuru nenda zako, pure evil!
Watanzania siasa za kenya zinapaswa Sana kutufundisha
Ila Leo mahakama haiko huru
Bunge haliko huru
Kila kitu Kipo under control ya CCM
Rais Mungu MTU Kwa mfumo WA nchi yetu.
Tanzania iliyoikomboa Africa mashariki na kusini Mwa Africa Leo hii tumekuwa vipofu WA kwenda kujifunza toka Kwa tuliowapambania democracia so shame
Sisi watanzania tulishatoka huko mnakopita wakenyaNgoja tuone Wabongo watakavyonza kujipendekeza kwa Ruto kuanzia utosini mwao mpaka miguuni kama kawaida yao kujipendekeza kwa winners, muda si mrefu watapiga magoti ikulu kumuomba msamaha Ruto full kujidhalilisha, uzuri ni kwamba Ruto hana mpango na Tanzania na sijui hata kama keshawahi kufika, huyo yuko na Uganda.
Anyway laana aliyopigwa Uhuru Kenyata na Mungu itafika Bongo soon, hata huku ana watu wake pia siyo Raila tu, Mungu yuko fair siku zote.
Uhuru nenda zako, pure evil!
Sisi watanzania tulishatoka huko mnakopita wakenya
Tangu tupate uhuru JPM peke yake ndani ya miaka mitano alitaka kutirudisha enzi za ukoloni za ukabila
Kenya, Moi aliwatesa kwa zaidi ya miaka 25,Watu waliteswa na Kutekwa, Kenya ilikuwa kama Baghdad au Afghanistan
Lakini sisi watanzania tunaipenda sana nchi yetu, Tutapiga kelele na kuongea lakini Ikifika suala la watu kutaka kufanya fujo watu hawakubali hata siku moja
Kariba ya Ruto ni kama JPM tu kwa ubabe, Naona kama wenzetu Jamaa atakuwa katili sana na watu kupotea
Alilosema tu hataki mambo ya ushirikiano na Upinzani nilijua tu kuna kitu kipya kinakuja kenya
Uongozi wa nchi hasa kwenye ukabila kama Kenya inahitaji busara na hekima kubwa sana, Jamaa Inaonekana ana visasi sana na sasa kapewa Lungu
JPM naye alisema hivi hivi kuwa mimi si wa kujaribiwa na nashangaa Rais wa Zanzibar kumsalimia maalim Seif, Yalifuatwa hakuna ushahidi lakini watu walipotea na kutekwa
Kenya bila Jamaa kudhibitiwa hao Citizen TV watalimia meno na hata biashara za uhuru atalimia meno labda hizo za nje ya kenya
JPM alidili na wabaya wake wote kimya kimya kwa kutumia State machineries
Kenya leo mmetufundisha haya;
Ninyi ni taifa lenye uhuru, uwazi na haki katika kupata viongozi wenu chini ya mfumo wa kidemokrasia. Mifumo yenu ya kuratibu siasa za kidemokrasia ni bora na imara.
Nakubaliana na wewe mkuu, Jamaa Inaonekana ana machungu sana sana na atalipa kisasiJapo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza kuwaania ubunge kwenye jimbo letu la Uasin Gishu, na umepambana mpaka leo umeukwaa urais, sina budi ila kukupa hongera.
Tawala taifa letu kwa misingi ya haki, heshimu katiba, endeleza miradi yote aliyotanguliza mwenzako, pambana dhidi ya ufisadi (japo hili la ufisadi nina mashaka nalo maana ndio sababu kuu sikukupigia kura, majina yako yametajwa sana kwenye tuhuma za ufisadi).
Wengi tutakuunga mikono, tutasimama na wewe kizalendo na kuendelea kuboresha nchi yetu, huu waraka najua hautausoma ila inawezekana wapambe wako wakapitia humu.
Big up sana William, tusonge mbele kwa mbele!!!!
Na pia shukrani za dhati ziwafikie IEBC kwa namna waliendesha huu uchgauzi, mumeweka rekodi mpya Afrika, tupo kwenye level nyingine, kwamba leo hii hata muungano na EAC kuwa nchi moja itashindikana maana labda tujishushe.
Hatimaye hongera kwa walioshinda viti vingine vyote na hata walioshindwa, sote tuboreshe taifa letu.
Tatizo maamuzi ya Leo bado yanaonekana ni ya kikabila mahakamaniNafikiri kuna kitu hauelewi, ushirikiano wa nini wakati mtu kashinda? The winner takes it all, kama unataka ushirikiano ongeza kura na siyo ushindwe halafu ulilie ushirikiano? Hamnaga hiyo, the winner takes it all, anayeshinda ndiyo anayeunda Serikali, period!
Raila alikuwa mshkaji wake sana mwendazake. Kushindwa kwake kumenifariji sanaJapo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza kuwaania ubunge kwenye jimbo letu la Uasin Gishu, na umepambana mpaka leo umeukwaa urais, sina budi ila kukupa hongera.
Tawala taifa letu kwa misingi ya haki, heshimu katiba, endeleza miradi yote aliyotanguliza mwenzako, pambana dhidi ya ufisadi (japo hili la ufisadi nina mashaka nalo maana ndio sababu kuu sikukupigia kura, majina yako yametajwa sana kwenye tuhuma za ufisadi).
Wengi tutakuunga mikono, tutasimama na wewe kizalendo na kuendelea kuboresha nchi yetu, huu waraka najua hautausoma ila inawezekana wapambe wako wakapitia humu.
Big up sana William, tusonge mbele kwa mbele!!!!
Na pia shukrani za dhati ziwafikie IEBC kwa namna waliendesha huu uchgauzi, mumeweka rekodi mpya Afrika, tupo kwenye level nyingine, kwamba leo hii hata muungano na EAC kuwa nchi moja itashindikana maana labda tujishushe.
Hatimaye hongera kwa walioshinda viti vingine vyote na hata walioshindwa, sote tuboreshe taifa letu.
Tatizo maamuzi ya Leo bado yanaonekana ni ya kikabila mahakamani
Still baada ya miezi kadhaa mtakuja tena kutafuta ushauri kwa Jakaya Kikwete huyo huyo Ruto unayemuona Leo wewe shujaa
Hana uwezo wa kuongoza Taifa lililogawanyika nusu kwa nusu kura, Atamuhitaji Odinga tu
Yawezekana wewe ni mkenya lakini huijui Kenya kama mimi kisiasa
Mimi sishangai Kenya tulikuwepo huko kama waangalizi wa East Afrika na Rais mstaafu Kikwete
Jakaya aliongea na Ruto na Raila pia na aliwasihi sana kuhusu Kutanguliza nchi mbele kuliko ukabila, Na wote Ruto na Odinga walimuahidi kikwete watafuata sheria za nchi kwani Raia wa kenya kwanza
Na hata maamuzi ya Mahakama Jaji wetu mstaafu na mtaalamu wa ushauri Chande Othman alikuwepo kwa ushauri huko Kenya
Huwezi niambie lolote kuhusu Siasa za Kenya
Mlipopata matatizo miaka ile ya 2007, Mkapa na Kikwete walikuwa huko kushawishi mtulie
Tunawafahamu nje ndani
Mtamkumbuka sana Uhuru pamoja na mapungufu yake.Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza kuwaania ubunge kwenye jimbo letu la Uasin Gishu, na umepambana mpaka leo umeukwaa urais, sina budi ila kukupa hongera.
Tawala taifa letu kwa misingi ya haki, heshimu katiba, endeleza miradi yote aliyotanguliza mwenzako, pambana dhidi ya ufisadi (japo hili la ufisadi nina mashaka nalo maana ndio sababu kuu sikukupigia kura, majina yako yametajwa sana kwenye tuhuma za ufisadi).
Wengi tutakuunga mikono, tutasimama na wewe kizalendo na kuendelea kuboresha nchi yetu, huu waraka najua hautausoma ila inawezekana wapambe wako wakapitia humu.
Big up sana William, tusonge mbele kwa mbele!!!!
Na pia shukrani za dhati ziwafikie IEBC kwa namna waliendesha huu uchgauzi, mumeweka rekodi mpya Afrika, tupo kwenye level nyingine, kwamba leo hii hata muungano na EAC kuwa nchi moja itashindikana maana labda tujishushe.
Hatimaye hongera kwa walioshinda viti vingine vyote na hata walioshindwa, sote tuboreshe taifa letu.
Mtamkumbuka sana Uhuru pamoja na mapungufu yake.
Sisi tuliwahi kupata mtawala ambaye kila dakika alimtamka Mungu lkn cha moto tulikiona na madhara yake bado yanalitesa taifa.
Ninawapa pole na subirini cha Moto kuanzia 2023 mtaanza kujuta