Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Utawaweza chawa wewe!Watu tuko gizani wewe unazungumzia corona?
Kwa nini mnanunua umeme Wa 5k?Watu tuko gizani wewe unazungumzia corona?
hahaha dah!Mataga waliojaza makamasi kichwani, watakuja kupinga!
Kweli kabisa. Tulipotea mazimaNchi imepata kiongozi sasa baada ya miaka 5 ya uendawazimu!
CV yangu itakusaidia nini? Kwani kuwa na cv Kuna husiana nini na mawazo yangu. Wewe huoni corona ilivyoathili uchumi wa dunia?? Au hili hadi uone cv ya mtu ndo utaaminiKila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake bila kuvunja sheria.Hata hivyo kwa swala la C-19,ambalo ni swala la kitaaluma,anayetoa mawazo anapaswa kuwa na weledi muafaka. Kwa sababu hiyo, ili mimi binafsi niweze kuchukulia maoni na ushauri wako maanani,ningeomba vitu vifuatavyo:-
1. CV yako kama hutajali.
2. Maamuzi ambayo unadhani Rais, ameyafanya kwa kuzingatia sayansi,hekima na busara.
Mwisho, naomba nikufahamishe na niku-taharadhishe kwamba siku hizi wapo Wanasayansi ambao ni wachumia tumbo.Hawa maisha ya watu sio muhimu sana, jambo la msingi kwao ni matumbo yao. Tunawaita kwa lugha nyingine "compromised scientists," na wako wengi sana.
CV yako inanisaidia ku-ascertain kama una weledi wa kutosha wa kuweza kutoa mawazo kuhusu Corona mkuu, kwa kuwa hili ni swala la kitaalamu zaidi. Nadhani hili kiko wazi sana.Cv yangu itakusaidia nini?? Kwani kuwa na cv Kuna husiana nini na mawazo yangu. Wewe huoni corona ilivyoathili uchumi wa dunia?? Au hili hadi uone cv ya mtu ndo utaamini