Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Wabaya wa Serikali ya awamu ya Tano walijipanga kuhakikisha Serikali inatikiswa na nchi inayumba. Wabaya hao walipata nguvu zaidi baada ya kuungana na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya sambamba na watorosha madini nje ya nchi. Walihakikisha kuwa wanawarubuni baadhi ya watu muhimu wa Serikali waliowaona wanawaunga mkono. Aidha, walihakikisha kuwa Bunge linatumika kuhalalisha mipango yao ovu.
Thanks God. Hali kwa sasa imetulia. Uimara wa Rais Magufuli ndio ulioleta utulivu. Kasimama kama Mkuu wa Nchi kukataa kuchezewa masharubu.
Kwaa jinsi alivyoidhibiti hali hii sidhani kama kutakuwa na jaribio jingine. Nchi inasonga mbele na Tanzania yenye neema yaja.