Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza utata wa malori Rusumo. Sasa tuhamie Mutukula na mipaka ya Kenya, Malawi na Zambia

Nimeona barua inazungumzia mizingo inayoelekea Rwanda na si transit good from Rwanda via Tanzania
Kichwa chako kizito kuelewa hiyo mizigo ya kuelekea Rwanda unajua huwa inatokea wapi? Kwa ufahamu mdogo ulionao? Tofauti ya transit goods to rwanda na mizigo inayoingia Rwanda tofauti yake Nini?
 
Hao ni Rwanda wamechukua hatua kiazi wewe. Mnashushia mzigo mpakani nyi mnarudi zenu na macorona mliyobeba. Kwa watu wa malori ya mafuta ni kujiweka isolation. Wewe unaona wapi unafuu hapo? Rais wako simu imezima chaji haipatikani!
Mizigo yote itashushiwa mpakani upande wa Rwanda, na magari ya mafuta na mizigo isiyoweza kushushiwa pale pamoja na mafuta magari yataingia Rwanda chini ya ulinzi wa police hadi washushe mzigo na watalala sehemu moja/pamoja waliotengewa kwa gharama za maboss wao mbali na hayo pia Tanzania itapima madereva wote (Rusumo-dar na Dar-Rusumo). Kwa ufupi kitu Rwanda walichoondoa ni kubadilisha madereva tu. Ni hatua nzuri kua na maelewano na sisi kubaki mteka wa bandari yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona barua inazungumzia mizingo inayoelekea Rwanda na si transit good from Rwanda via Tanzania
Barua iko wazi kabisa kuwa goods entering rwanda will be offloaded or transshiped at the border .Ni mizigo yote as long as inaingia Rwanda na ya kutoka Rwanda kuja Tanzania Ni hivyo iwe in transit or whatever Ni uamuzi mzuri na very fair
 
Makubaliano haya yako vizuri sababu mizigo yao wabebe mpakani maana yake Nini Ni gharama zaidi Kwao na pia ya Kwao inayokuja bandari ya Dar es salaam waishushe mpakani sisi tukaichukue mpakani tuifikishe bandari ya dar es salaam kwa gharama zao sababu Ni ya kwao sio yetu malori yetu yalikuwa yakipeleka mizigo Rwanda yanarudi matupu kwa kukosa mizigo ya kurudi nayo yakishashusha lakini Sasa yatapeleka mizigo ya rwanda mpakani na yatabeba mizigo ya Rwanda kurudi nayo bandari ya dar es salaam Ni uamuzi mzuri hongera kwa serikali

Malori ya mafuta yameruhusiwa watanzania wengi wanamiliki vituo vya mafuta Rwanda uamuzi mzuri pia

Kuhusu perishable goods pia uamuzi mzuri sababu bakhresa anapeleka kuuza vyakula Sana Rwanda Ni mfanyabiadhara mkubwa kule pamoja na akina Azania Millers Ni uamuzi mzuri una faida kwetu Sana

Haya makubaliano nayaunga mkono yako vizuri na maslahi ya Tanzania yamezingatiwa barabara

Wewe li chadema Huna ulijualo zaidi ya lockdown kujifungia Kama mwali

Chadema akili zenu finyu mno
Makubaliano sio mabaya lakini inavyoonekana kuna mengi hujayaelewa. Wanyarwanda wataleta mizigo yao Dar wenyewe na watapimwa na serikali yetu kwa gharama zetu. Remember Rusumo hakuna facilities za kuwezesha ufaulishaji wa mizigigo yote ya kuja dar. FYI bakhressa na Azania wana viwanda vyao kule wanapeleka tu some raw materials.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa hapo Kuna nongwa gani.Kwanza serikali yetu imesema itachukua jukumu la kuwapima hapa Dar na kwenye vituo kadhaa vya njiani.Pili mizigo yote itashushwa mpakani na kwa wale wa mafuta and perishables basi wataingia Rwanda chini ya ulinzi mkali maana yake wasije wakajichanganya na wanyarwanda.Yaani hadi sasa RWA 5 TZ 0
Acha uongo wewe inamaana haujui kwamba wao Rwanda walisuggest madereva wao wawe wanaingia kwetu halafu wetu hawaiingii kwao, sasa huoni sasa hivi wao wanaishia mpakani na sisi tunaishia mpakani ila madereva wetu wenye kubeba perishable goods wataingia Rwanda kwa escort sasa hapo nani mshindi.
 
Mizigo yote itashushiwa mpakani upande wa Rwanda, na magari ya mafuta na mizigo isiyoweza kushushiwa pale pamoja na mafuta magari yataingia Rwanda chini ya ulinzi wa police hadi washushe mzigo na watalala sehemu moja/pamoja waliotengewa kwa gharama za maboss wao mbali na hayo pia Tanzania itapima madereva wote (Rusumo-dar na Dar-Rusumo). Kwa ufupi kitu Rwanda walichoondoa ni kubadilisha madereva tu. Ni hatua nzuri kua na maelewano na sisi kubaki mteka wa bandari yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We unasomaje, ni kwa gharama za importer yaani mwenye mzigo
 
Makubaliano haya yako vizuri sababu mizigo yao wabebe mpakani maana yake Nini Ni gharama zaidi Kwao na pia ya Kwao inayokuja bandari ya Dar es salaam waishushe mpakani sisi tukaichukue mpakani tuifikishe bandari ya dar es salaam kwa gharama zao sababu Ni ya kwao sio yetu malori yetu yalikuwa yakipeleka mizigo Rwanda yanarudi matupu kwa kukosa mizigo ya kurudi nayo yakishashusha lakini Sasa yatapeleka mizigo ya rwanda mpakani na yatabeba mizigo ya Rwanda kurudi nayo bandari ya dar es salaam Ni uamuzi mzuri hongera kwa serikali

Malori ya mafuta yameruhusiwa watanzania wengi wanamiliki vituo vya mafuta Rwanda uamuzi mzuri pia

Kuhusu perishable goods pia uamuzi mzuri sababu bakhresa anapeleka kuuza vyakula Sana Rwanda Ni mfanyabiadhara mkubwa kule pamoja na akina Azania Millers Ni uamuzi mzuri una faida kwetu Sana

Haya makubaliano nayaunga mkono yako vizuri na maslahi ya Tanzania yamezingatiwa barabara

Wewe li chadema Huna ulijualo zaidi ya lockdown kujifungia Kama mwali

Chadema akili zenu finyu mno
Well said,Umeinyambua vizuri Sana mkuu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mzigo, walichokifanya Rwanda ni utekelezaji wa EAC meeting walokaa nchi 4 in absence of Tz na Rwanda.
Sioni wewe na minyumbu wenzako mnachosherekea hapa au kiingereza hujui?
 
Acha uongo wewe inamaana haujui kwamba wao Rwanda walisuggest madereva wao wawe wanaingia kwetu halafu wetu hawaiingii kwao, sasa huoni sasa hivi wao wanaishia mpakani na sisi tunaishia mpakani ila madereva wetu wenye kubeba perishable goods wataingia Rwanda kwa escort sasa hapo nani mshindi.
Kwa hiyo from today hatutaona roli la Rwanda barabarani? Je hayo makubariano ya madereva wa Rwanda kuishia mpakani yapo kwenye hiyo barua pia au kuna separate letter
 
Ujinga mzigo, walichokifanya Rwanda ni utekelezaji wa EAC meeting walokaa nchi 4 in absence of Tz na Rwanda.
Sioni wewe na minyumbu wenzako mnachosherekea hapa au kiingereza hujui?
Hiyo barua imesema kutokana na kikao gani? au wewe ndio hujui kidhungu eeeh
 
Kichwa chako kizito kuelewa hiyo mizigo ya kuelekea Rwanda unajua huwa inatokea wapi? Kwa ufahamu mdogo ulionao? Tofauti ya transit goods to rwanda na mizigo inayoingia Rwanda tofauti yake Nini?
Mkuu jifunze kuwa unasoma na kuelewa.Nimeandika Transit good from Rwanda,hiyo to Rwanda umeandika wewe na mihemko yako
 
Acha uongo wewe inamaana haujui kwamba wao Rwanda walisuggest madereva wao wawe wanaingia kwetu halafu wetu hawaiingii kwao, sasa huoni sasa hivi wao wanaishia mpakani na sisi tunaishia mpakani ila madereva wetu wenye kubeba perishable goods wataingia Rwanda kwa escort sasa hapo nani mshindi.
Mkuu ulikuwa sehemu ya hicho kikao?
 
Back
Top Bottom