Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

Ni katika mkutano na waandishi wa habari leo akiwa na Raisi wa Vietnam baada ya kupiga broken hatari kule Arusha
Nadhani washauri wamemshauri vyema kwamba kwa kuwa lugha haipandi bora atumie kiswahili tu wamtafsirie Tulisema humu nadhani katusikia
Aendelee kutumia kiswahili aachane na kingereza Labda wakiwa faraghani huko sio kwenye press.
Nina mashaka na akili yako
 
nilitaman sana, hatimae imetokea
 
Fluency in written and oral communication is absolutely essential- hii ndio moja ya sifa mama ya kiongozi.
 
Watanzania thamini vyenu hacha ushamba ulitaka atumie lugha isiyo yake,mbona mwenzie katumia lugha yake
ukweli ni kwamba Magu hajui kiingereza Nukta.... hata hivyo ningependa aendelee kutumia lugha ya kiswalini na mitaala, Katiba,sheria mbalimbali ziwe kwenye lugha ya kiswahili kama yeye Dr. Magu ni shida inakuwaje mawaziri wanaoingia mikataba maana mwaka juzi mlimsikia na kumuona waziri wa elimu alivyotuabisha kule SA.
 
Na hili ndilo wengi wa Watanzania hawalijui kuwa Lugha ni fahari ya nchi ukiona mtu ana ng'ang'ania lugha za watu ujue huyo ni mtumwa wa kifikra na kumkomboa mtu huyonikazi mno.

Lugha ni ufahari wa nchi, ishara ya nguvu, heshima Wa mila na desturi...ukitaka kumtawala mtu utamaduni ni "soft power'' vs "hard power"
wafaransa na waingereza kila mmojawapo ukikuta anajua lugha ya mwingine kwenye international forums hutasikia akiizungumza...ataongea lugha yake I.e heritage. Ni ujinga kuwa na hoja kuwa na wazo kwamba kingereza ndio lugha ya kidiplomasia..hapana wafaransa ndio waasisi Wa Diplomasia. Ila etiquette nzuri ni kuilinda heshima yako na utamaduni wako.
Thanks Uncle magu.
 
ukweli ni kwamba Magu hajui kiingereza Nukta.... hata hivyo ningependa aendelee kutumia lugha ya kiswalini na mitaala, Katiba,sheria mbalimbali ziwe kwenye lugha ya kiswahili kama yeye Dr. Magu ni shida inakuwaje mawaziri wanaoingia mikataba maana mwaka juzi mlimsikia na kumuona waziri wa elimu alivyotuabisha kule SA.
English sio lugha yetu na sisi sio watwana tuache lugha yetu tukazanie lugha za watu ndio sababu kiswahili kinadharaulika sababu ya watu kama ninyi.
 
Jamani mbona wazungu wakiongea Kiingereza hamsemi hawajui kiswahili?? au mchinaa au hata hao wa vietnam
Mimi pia naunga mkono hoja mimi kwa mia. Hapa Japan niliteseka mwaka mzima nikisoma lugha yao. wao wanadai ukija kwao uongee uongee kugha yao
 
Mbona marais wa china, france, korea wanapiga lugha zao? Si ndio maana huwa kuna translators jwenye mikutano mikubwa au wana kazi gan wale?
Tatizo letu ni kuwa bado tuna kasumba ya ukoloni. Marais wengi wanaongea lugha zao mf mwingine Putin na rais wa ujerumani. Mwamkomalia Magufuli. Kuendesha nchi hakuhitaji kujua kimombo. Tuenzi lugha yetu kingereza ni lugha ya tatu kwetu. Mbona hawakomalii hao marais wengine. Mmfyuuuuu.
 
Ni vizuri lakini tujiulize mikataba mingi imeandikwa kwa lugha gani? kama tunakubaliana kuwa hatuhitajibkiingereza kwanini tunaendeleza kufelisha watoto Wetu mashuleni kisa hajui kiingereza...tuweke pembeni kingereza tuendelee nabkiswahili chetu hataufaulu bila Shaka utaongezeka...
 
Hongera sana na naomba washauri wake wamshauri ajiamini, hata kwenye mikutano ya kimataifa asiogope kutwanga kiswahili ili kueneza lugha yetu.
 
Back
Top Bottom