Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Mficha uchi hazai...Mwenyekiti wa EAC anaonesha mfano kwa kufanya Kiswahili iwe ndo lugha rasmi Afrika mashariki Hongera Raisi wetu.
Mficha uchi hazai...Mwenyekiti wa EAC anaonesha mfano kwa kufanya Kiswahili iwe ndo lugha rasmi Afrika mashariki Hongera Raisi wetu.
Umesha wasikia WAKALIMA ?Kiingereza ajui inabidi atumie hiyo lugha ya kiswahili kwani hamna namna.
Nina mashaka na akili yakoNi katika mkutano na waandishi wa habari leo akiwa na Raisi wa Vietnam baada ya kupiga broken hatari kule Arusha
Nadhani washauri wamemshauri vyema kwamba kwa kuwa lugha haipandi bora atumie kiswahili tu wamtafsirie Tulisema humu nadhani katusikia
Aendelee kutumia kiswahili aachane na kingereza Labda wakiwa faraghani huko sio kwenye press.
Achana nao wamebemendwa na wazungu haoJamani mbona wazungu wakiongea Kiingereza hamsemi hawajui kiswahili?? au mchinaa au hata hao wa vietnam
nilitaman sana, hatimae imetokeaNi katika mkutano na waandishi wa habari leo akiwa na Raisi wa Vietnam baada ya kupiga broken hatari kule Arusha
Nadhani washauri wamemshauri vyema kwamba kwa kuwa lugha haipandi bora atumie kiswahili tu wamtafsirie Tulisema humu nadhani katusikia
Aendelee kutumia kiswahili aachane na kingereza Labda wakiwa faraghani huko sio kwenye press.
Achana nao hao walamba kamasi madai yao ni matamu!!Watanzania thamini vyenu hacha ushamba ulitaka atumie lugha isiyo yake,mbona mwenzie katumia lugha yake
Baadhi ya watanzania watadumu na kasumba hadi wanaingia kaburini!!!Jamani mbona wazungu wakiongea Kiingereza hamsemi hawajui kiswahili?? au mchinaa au hata hao wa vietnam
ukweli ni kwamba Magu hajui kiingereza Nukta.... hata hivyo ningependa aendelee kutumia lugha ya kiswalini na mitaala, Katiba,sheria mbalimbali ziwe kwenye lugha ya kiswahili kama yeye Dr. Magu ni shida inakuwaje mawaziri wanaoingia mikataba maana mwaka juzi mlimsikia na kumuona waziri wa elimu alivyotuabisha kule SA.Watanzania thamini vyenu hacha ushamba ulitaka atumie lugha isiyo yake,mbona mwenzie katumia lugha yake
Hivi masomo yao huwa kwa kiswahili au kwa kiingereza?Jamani mbona wazungu wakiongea Kiingereza hamsemi hawajui kiswahili?? au mchinaa au hata hao wa vietnam
Lugha ni ufahari wa nchi, ishara ya nguvu, heshima Wa mila na desturi...ukitaka kumtawala mtu utamaduni ni "soft power'' vs "hard power"
wafaransa na waingereza kila mmojawapo ukikuta anajua lugha ya mwingine kwenye international forums hutasikia akiizungumza...ataongea lugha yake I.e heritage. Ni ujinga kuwa na hoja kuwa na wazo kwamba kingereza ndio lugha ya kidiplomasia..hapana wafaransa ndio waasisi Wa Diplomasia. Ila etiquette nzuri ni kuilinda heshima yako na utamaduni wako.
Thanks Uncle magu.
English sio lugha yetu na sisi sio watwana tuache lugha yetu tukazanie lugha za watu ndio sababu kiswahili kinadharaulika sababu ya watu kama ninyi.ukweli ni kwamba Magu hajui kiingereza Nukta.... hata hivyo ningependa aendelee kutumia lugha ya kiswalini na mitaala, Katiba,sheria mbalimbali ziwe kwenye lugha ya kiswahili kama yeye Dr. Magu ni shida inakuwaje mawaziri wanaoingia mikataba maana mwaka juzi mlimsikia na kumuona waziri wa elimu alivyotuabisha kule SA.
una maanisha nini Mkuu???Mficha uchi hazai...
Mimi pia naunga mkono hoja mimi kwa mia. Hapa Japan niliteseka mwaka mzima nikisoma lugha yao. wao wanadai ukija kwao uongee uongee kugha yaoJamani mbona wazungu wakiongea Kiingereza hamsemi hawajui kiswahili?? au mchinaa au hata hao wa vietnam
Tatizo letu ni kuwa bado tuna kasumba ya ukoloni. Marais wengi wanaongea lugha zao mf mwingine Putin na rais wa ujerumani. Mwamkomalia Magufuli. Kuendesha nchi hakuhitaji kujua kimombo. Tuenzi lugha yetu kingereza ni lugha ya tatu kwetu. Mbona hawakomalii hao marais wengine. Mmfyuuuuu.Mbona marais wa china, france, korea wanapiga lugha zao? Si ndio maana huwa kuna translators jwenye mikutano mikubwa au wana kazi gan wale?
Tanzania tatizo la kiingereza no kubwa mno lakini tunajifanya kufumbia macho na kutafutia lugha nzuri eti anakienzi...una maanisha nini Mkuu???
Ni vizuri lakini tujiulize mikataba mingi imeandikwa kwa lugha gani? kama tunakubaliana kuwa hatuhitajibkiingereza kwanini tunaendeleza kufelisha watoto Wetu mashuleni kisa hajui kiingereza...tuweke pembeni kingereza tuendelee nabkiswahili chetu hataufaulu bila Shaka utaongezeka...Tatizo letu ni kuwa bado tuna kasumba ya ukoloni. Marais wengi wanaongea lugha zao mf mwingine Putin na rais wa ujerumani. Mwamkomalia Magufuli. Kuendesha nchi hakuhitaji kujua kimombo. Tuenzi lugha yetu kingereza ni lugha ya tatu kwetu. Mbona hawakomalii hao marais wengine. Mmfyuuuuu.