Hongera Rais kwa hili la kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nakuunga mkono 100%

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,440
Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.

Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.

Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.

Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.

1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.

2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.

Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.

Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
 
Rais wa CCM hajawahi kosa watetezi au wasifiaji kwa lolote afanyalo ndani ya CCM! Hata enzi za ubinafsishaji pambio za sifa zilikua nyingi lkn leo wale wale waliokua wakisifu leo ndo wamekua wapondaji.

Sijawahi na sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.mimi ni mtu huru na napenda sana kuwa huru. Penye ukweli huwa nasimama bila unafiki
 
Ni kweli,kama tumeweza kujenga Reli kwa pesa zetu wenyewe tutashindwa nini kujenga hiyo bandari...!
 
Ni wale aliowasema mzee Makamba juzi wanaoweza kulaumu serikali kusitisha upuuzi wa bandari ya Bagamoyo wakati tuna bandari ya Tanga na Mtwara zinazohitaji fedha kiasi kuboreshwa na kuleta tija kubwa Tanzania badala ya Kujenga bandari mpya ya Baganoyo.
 
Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.

Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.

Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.

Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.

1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.

2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.

Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.

Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
hongera baada ya kukomehsa wachagga wa kimara , wahaya na sasa umekuja kwa mkwere,
 
Uzi wa kijinga sijawahi kuona, yaani umeandika kishabiki shabiki bila kutafakari.
Hata hao unaowatetea na wak huwa wanamakosa kama binadamu, kwa hili ni zaidi ya kukurupuka.
Kwa vile nilivyofuatilia ni kwamba kwenye mradi huo China ni mwekezaji na sio kwamba anaikopesa Tanzania iki itekeleze mradi...
Jifunze kufikiria nje ya box ujiulize ni kwann Tanzania imejito...
 
Watanzania tunatakiwa kuwa makini sana na hawa Wachina wa leo. Wengi wao wametoka ktk ufukara wa kutisha kwao. Wana uchu mkubwa sana wa kupata pesa Africa hawajali chochote, ndiyo maana unawaona ktk biashara zote haramu wapo.
 
Back
Top Bottom