NdioUmekidhi vigezo?
NdioUmekidhi vigezo?
Kanywa busa au mangureHivi watz nan ameturoga, kutoka wanafunzi elfu sitini had elfu 25...unatoka hko na mbege zako na kutoa hongera kindezi....kamuone majimatefu akuague
duh taratibu mkuu usitumie nguvu nying kummind jamaa huenda ana matatzo yake mwacheni tu.Unajua mimi nimekosa mkopo na nasoma udaktari na nimesoma shule za kata zote. Aisee bangi yako haijaanza kulimwa Tanzania
Hongera sana kijana kwa kupata fursa ya kujiunga chuo kikuu na kuweza kupata mkopo, na pia waeleze wengine wafahamu na watambue mchango wa serikali kwa wanafunzi wa elimu ya juu.Katikati ya mwezi wa Oktoba mpk mwanzoni mwa Nov.kulisikika kelele nyingi sana kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.Kwa tathmini ya haraka wengi walikuwa wanalalamikia kukosa mikopo,wengine kulalamikia vigezo vipya vya utoaji wa mikopo,nitumie fursa hii kumpongeza mh.Rais kwa kuwawezesha vijana wanaostahili kupata mikopo kuwezeshwa na hali ya hewa kutulia.
Tunaamini kuwa siyo makusudi ya serikali kulalamikiwa na vijana wetu wasomi ila ni mapungufu yaliyopo kwenye mifumo yetu ya utoaji huduma na vilevile nawapongeza vijana wetu kwa kuwa wavumilivu pamoja na mapungufu yaliyojitokeza kwenye mifumo yetu.
Nimepata taarifa mbalimbali kutoka kwa baadhi ya wanafunzi kuwa wameshaanza kulipwa fedha zao na wengine wanaendelea kusaini au kukamilisha taratibu za malipo-hongera serikali yetu.
Vilevile nimedokezwa na personal sources kuwa huenda mpango wa kuwa na dodoso kwa wanafunzi wanaoendelea ukafutwa kutokana na bodi ikatumia taarifa walizonazo kufanya uchambuzi,pamoja na hilo nimetembelea tovuti ya www.heslb.go.tz kuona kama kuna taarifa kuhusu dodoso lakini sijabahatika kuiona.Hongera Mh.Rais na serikali yetu tunawaombea kwa Mungu muendelee hivyo.
Laiti,juhudi zisingefanyika makelele yangeongezeka na kuzua mambo makubwa,hongereni wanafunzi wa vyuo vyetu mf.UDSM,SUA,UDOM,MZUMBE,ST.AUGUSTINE,MUHIMBILI,SEKOMU,MANDELA.MWENGE N.K
NINAWATAKIA AFYA NJEMA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA.
WASALAAM
DOFFA
Nafuu ww una uelewa mpana na unajibu kwa hoja siyo wanaoleta matusi humu,hongera sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hongera sana kijana kwa kupata fursa ya kujiunga chuo kikuu na kuweza kupata mkopo, na pia waeleze wengine wafahamu na watambue mchango wa serikali kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Hapo ndo utajua huyo ni mmoja kati ya wanne. Ameshindwa kujua kwamba anapata mshahara kwa kazi kama hizi haina haja ya pongezi maana ni jukumu lake ni lazima alitimize.Unamsifu mtu kwa kutimiza (partially) wajibu wake?
Akili gani hizi
Nakuuunga mkono m pia cjapata nashangaaa izo hongera anatoajeAcha siasa me ni mmoja ya mwanafunzi wa 1st year ambaye mpaka sasa sijapata mkopo
Na sijawai samo shule ya private
Katikati ya mwezi wa Oktoba mpk mwanzoni mwa Nov.kulisikika kelele nyingi sana kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.Kwa tathmini ya haraka wengi walikuwa wanalalamikia kukosa mikopo,wengine kulalamikia vigezo vipya vya utoaji wa mikopo,nitumie fursa hii kumpongeza mh.Rais kwa kuwawezesha vijana wanaostahili kupata mikopo kuwezeshwa na hali ya hewa kutulia.
Tunaamini kuwa siyo makusudi ya serikali kulalamikiwa na vijana wetu wasomi ila ni mapungufu yaliyopo kwenye mifumo yetu ya utoaji huduma na vilevile nawapongeza vijana wetu kwa kuwa wavumilivu pamoja na mapungufu yaliyojitokeza kwenye mifumo yetu.
Nimepata taarifa mbalimbali kutoka kwa baadhi ya wanafunzi kuwa wameshaanza kulipwa fedha zao na wengine wanaendelea kusaini au kukamilisha taratibu za malipo-hongera serikali yetu.
Vilevile nimedokezwa na personal sources kuwa huenda mpango wa kuwa na dodoso kwa wanafunzi wanaoendelea ukafutwa kutokana na bodi ikatumia taarifa walizonazo kufanya uchambuzi,pamoja na hilo nimetembelea tovuti ya www.heslb.go.tz kuona kama kuna taarifa kuhusu dodoso lakini sijabahatika kuiona.Hongera Mh.Rais na serikali yetu tunawaombea kwa Mungu muendelee hivyo.
Laiti,juhudi zisingefanyika makelele yangeongezeka na kuzua mambo makubwa,hongereni wanafunzi wa vyuo vyetu mf.UDSM,SUA,UDOM,MZUMBE,ST.AUGUSTINE,MUHIMBILI,SEKOMU,MANDELA.MWENGE N.K
NINAWATAKIA AFYA NJEMA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA.
WASALAAM
DOFFA
xx,yy ndio nini?..wewe kweli ni mwaka wa kwanza.huyu anaetoa hongera itakuwa yy n first year so kapata mkopo mm mkp xx cjapata mkopo xx nshangaa anavyosema wanafunz wamepewa mkopo.
Sasa hapo ulilompongeza ni lipi? Faculty za arts wote hawana mkopo af we unamwaga misifa kibao au we ni mtawala eKatikati ya mwezi wa Oktoba mpk mwanzoni mwa Nov.kulisikika kelele nyingi sana kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.Kwa tathmini ya haraka wengi walikuwa wanalalamikia kukosa mikopo,wengine kulalamikia vigezo vipya vya utoaji wa mikopo,nitumie fursa hii kumpongeza mh.Rais kwa kuwawezesha vijana wanaostahili kupata mikopo kuwezeshwa na hali ya hewa kutulia.