Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Ushahidi tafadhariAcha siasa me ni mmoja ya mwanafunzi wa 1st year ambaye mpaka sasa sijapata mkopo
Na sijawai samo shule ya private
Ushahidi tafadhariAcha siasa me ni mmoja ya mwanafunzi wa 1st year ambaye mpaka sasa sijapata mkopo
Na sijawai samo shule ya private
We utakua mgeni humu jukwaani na jf kwa ujumla kama hujui maana ya lumumbaLumumba ndo nini? jamani!
"xx" ndo nini?huyu anaetoa hongera itakuwa yy n first year so kapata mkopo mm mkp xx cjapata mkopo xx nshangaa anavyosema wanafunz wamepewa mkopo.
Nashindwa kuelewa ni kwa nini WaTZ tuna akili za ajabu namna hii! Unalipwa kiasi gani mkuu? Mungu anakuona mkuu, usipende sifa za wanadamu kumbe kwa Mungu anakuona takataka tu, nadhani wewe sio mwanafunzi na hapa umetumwa kukaririsha watu ujinga wakoTuwe watulivu na wavumilivu,TUTAFIKA TU NDUGU ZANGU ACHENI HASIRA.
sasa kama wao hawatupi kwa wakati,kwanin nao watudai kwa nguvu san au kutulazimisha kulipa ndani ya muda walopanga wao ilhali kwetu hawafanyi ivo kutupatia kwa wakati?Da mikopo mnalalamika hampati,haiji kwa wakati,blaa blaa nyingi mno mkishapewa mkamaliza chuo kurudisha mpaka myafutwe kwa tochi ni shida sana
mkuu unahitaji ushahidi? kama wew ni mwanafunz wa chuo am sure utakuwa unafaham ila kam upo mtaani kupata ushahidi itakuwa ngumu.ila naamin wanachosema vijana ni kweliUshahidi tafadhari
Ivi mkopo ni lazima,samahani kwa swali hilosasa kama wao hawatupi kwa wakati,kwanin nao watudai kwa nguvu san au kutulazimisha kulipa ndani ya muda walopanga wao ilhali kwetu hawafanyi ivo kutupatia kwa wakati?
unajua sababu na vigezo za wanafunz kupewa mkopo? kama unajua bas ilo swali unaweza ukalijibu mwenyew.samahani kwa swali ilo piaIvi mkopo ni lazima,samahani kwa swali hilo
Hivi serikali zote duniani huwa na mikopo?kwa hapa kwetu lengo ni kisaidia watoto wa maskini,ilansas wafuate utaratibu basi pia wapunguze malalamiko ,samahani kwa swali hilo piaunajua sababu na vigezo za wanafunz kupewa mkopo? kama unajua bas ilo swali unaweza ukalijibu mwenyew.samahani kwa swali ilo pia
ni sahihi mkuu,kama wako na lengo hilo kweli kusaidia watot wa maskini.basi watekeleze sawa na matakwa yao na ya hao wanafunzi pia ili malalamiko yasiwepo.Hivi serikali zote duniani huwa na mikopo?kwa hapa kwetu lengo ni kisaidia watoto wa maskini,ilansas wafuate utaratibu basi pia wapunguze malalamiko ,samahani kwa swali hilo pia
NDIOIvi mkopo ni lazima,samahani kwa swali hilo
Mkuu upo serious??? au unatania tuKatikati ya mwezi wa Oktoba mpk mwanzoni mwa Nov.kulisikika kelele nyingi sana kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.Kwa tathmini ya haraka wengi walikuwa wanalalamikia kukosa mikopo,wengine kulalamikia vigezo vipya vya utoaji wa mikopo,nitumie fursa hii kumpongeza mh.Rais kwa kuwawezesha vijana wanaostahili kupata mikopo kuwezeshwa na hali ya hewa kutulia.
Tunaamini kuwa siyo makusudi ya serikali kulalamikiwa na vijana wetu wasomi ila ni mapungufu yaliyopo kwenye mifumo yetu ya utoaji huduma na vilevile nawapongeza vijana wetu kwa kuwa wavumilivu pamoja na mapungufu yaliyojitokeza kwenye mifumo yetu.
Nimepata taarifa mbalimbali kutoka kwa baadhi ya wanafunzi kuwa wameshaanza kulipwa fedha zao na wengine wanaendelea kusaini au kukamilisha taratibu za malipo-hongera serikali yetu.
Vilevile nimedokezwa na personal sources kuwa huenda mpango wa kuwa na dodoso kwa wanafunzi wanaoendelea ukafutwa kutokana na bodi ikatumia taarifa walizonazo kufanya uchambuzi,pamoja na hilo nimetembelea tovuti ya www.heslb.go.tz kuona kama kuna taarifa kuhusu dodoso lakini sijabahatika kuiona.Hongera Mh.Rais na serikali yetu tunawaombea kwa Mungu muendelee hivyo.
Laiti,juhudi zisingefanyika makelele yangeongezeka na kuzua mambo makubwa,hongereni wanafunzi wa vyuo vyetu mf.UDSM,SUA,UDOM,MZUMBE,ST.AUGUSTINE,MUHIMBILI,SEKOMU,MANDELA.MWENGE N.K
NINAWATAKIA AFYA NJEMA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA.
WASALAAM
DOFFA
Umekidhi vigezo?Acha siasa me ni mmoja ya mwanafunzi wa 1st year ambaye mpaka sasa sijapata mkopo
Na sijawai samo shule ya private