Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Hongera Prof. Joseph Buchweshaija

Ndio maana namheshimu sana Pasco . Huyu ndugu alitabiri hapa bila kumung'unya maneno kuwa Magufuli ni dictator. Alisema mapema hata kabla Magu hajawekwa hadharani kama mgombea kuwa huyu Magu kwanza ana baraka zote za 'Wazee wa Kurasini'. Pili Magu kwa hulka yake tutegemee kilio na kusaga meno. Yanatimia moja baada ya mengine... Aisee Pasco ni noma!

Kwenye taaluma tusiwe waigizaji. Haihitaji uwe na PhD au Uprofesa. Na nitammshangaa sana huyo Bwana kama anakubali kuaibika kwa kutumikia kitu asichokielewa. Huyo sio mtaalamu wa Benki na wala hana taaluma ya Uwekezaji wa Kibenki. Hivi ukimuuliza huyo Prof. wa Chemistry kuhusu Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary, etc anazijua? Tusijifanye tunataka kumuingiza Zaza apige penalti kwa manjonjo wakati kwenye uchumi hakuna maigizo.

Jamani Prof Bucharest si mtendaji wa TIB bali mjumbe wa bodi mpya ya taasisi hiyo na mwenyekiti wa Bodi hiyo ni Prof. Paramagamba Kabudi. Aaibike kitu gani wakati yeye si mkurugenzi mkuu was TIB? Moja ya jukumu kuu ya bodi ya wakurugenzi ni kusimamisha utendaji wa menejimenti ya taasisi husika na kushauri utendaji wa Mkuruvenzi mkuu was taasisi husika.
 
Duhh, majukumu mingine yanashangaza sana yaani yeye atahusika eneo la kushauri wakati hana taaluma! Kwenye kusimamisha au kutumbua hapo itakuwa hana jingine ni kuitikia ndiyoooo hata kama ni majungu au makosa ili mtu atumbuliwe. Haya ngoja tusubiri shubiri ya viroja.
 
Naweza kusema huyo prof unayempongeza ni mmoja wa maprof mizigo katika nchi hii ambao wanashindwa kuhusianisha Elimu na uhalisia wa kijamii, ndo maana tutabaki kuwa hivi
 
Ni kukurupuka tu Mkemia kuwa msimamizi wa fedha.

Shukrani hizo si angemlipa tu PESA baasi wakamalizana.
 
Back
Top Bottom